SIMIYUVOICE
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 313
- 71
Kama wangeangukia anga zangu,ningewamalizia kwa mishale.Tumewachoka hawa ccm kila siku vitisho tu.25 October wakwere tutafahamiana tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We gamba baki Ktk mada! Watz wanataka kujua uokoaji unafanyika au sahv mnaunda kamati kwanza......mkishamaliza kuunda kamati jamaa watakuwa washaliwa na simba
Hahaha mkuu kama nakuona vile! Najua badala ya kuwapa first aid ungewapa tenth aid especially yule mzee mvaa mawani benyamin kama yupo ndani mwa Chopa hilo!Kama wangeangukia anga zangu,ningewamalizia kwa mishale.Tumewachoka hawa ccm kila siku vitisho tu.25 October wakwere tutafahamiana tu.
Usiseme Chochote Hakijafanyika As If Upo Eneo La Tukio....
Ufuatiliaji Mbovu Ndomana Tumemuweka Mfuatiliaji Aliyemadhubuti Magufuli...
ndio maana tunasema kwa dharau zenu hizi hamtakiwi kuiongoza tz tena
Mkuu Ajali Kitu Cha Kawaida Na Sio Kitu Cha Kuombeana Na Sio Kama Natetea.
Kuna Vitu Vingine Sio Vya Kuilaumu Serikali,mf.Magari Ya Zimamoto Yapo Lakini Wanayotumia Hayo Magari Hawaweki Maji Ya Kutosha Hapo Utailaumu Serikali Au Ni Uzembe Wa Hao Watumishi?
Ndo Maana Nasisitiza Watz Tukae Katika Nafasi Zetu Tutimize Wajibu Wetu Ipasavyo..
Kwa hiyo marais waliotangulia siyo wafuatiliaji?
hayo magari yanakidhi mahitaji yetu. nyumba iaungua na watu wote wanakufa bila msaada (ref Buguruni case), then unasema serkali inawajibika.Tembea uone nchi ambazo serkali zinawajibika kwa raia police, Zima moto na waokoaji wananya nini.Husitumie akili ya kukulia matatizo ukajenga hoja
Duh.... Ngoja tuweke siasa kando!!
Mungu awaepushie madhara na wawe salama!!
Kikwete Hahamasishi Ufuatiliaji Mpole Sana,niki Mwangalia Na Lowassa Mulemule,..
Itakayofuata kulipuka ni ile ambayo Lowasa atakuwamo,
kumbe vinauma eeeeeh,by the way nilikuwa namquoate aliyetamani mkapa angekuwemo kwenye hiyo chopawe malaya unafikiri kwa kutumia iyo k yako au ombea pia baba yako na mama yako kesho watanguliye kabla ya kumuombea lowassa
Wabunge wenu ndio wamemlea wanatetea serikali badala ya wananchi. Ndio maana mnatakiwa mpumzishwe ili akili irudi.
akili yako ya ni yachooni ina nuka mavi.Kama wangeangukia anga zangu,ningewamalizia kwa mishale.Tumewachoka hawa ccm kila siku vitisho tu.25 October wakwere tutafahamiana tu.