Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo jina linatisha! Bia shingapi hapo? Valeur zipo?
tena hizi feki ndio zinatafutwa maanake ZINA STIMU ZA KUFA MTU!mamaa la kemo hebu soma hilo jarida useme ni wapi watakuwa wanazichoma niende!
we sema lini ViVian halafu ndo utajuwa umoja wetu ulivo. Usipime, utapata ushauri zaidi ya ushauri. Muulize binamu bht, carmel, shemeji yangu ZD na wengineo!
ukawaida upo wapi hapa!?au hujawahi ona watu wakihama baa kwa ongezeko la sh 50?Bia ni Tshs 2,000 msasha! Valeur zipo ile bei Ndo sijui! Usiogope jina. ni sehemu ya kawaida sana!!
Bia ni Tshs 2,000 msasha! Valeur zipo ile bei Ndo sijui! Usiogope jina. ni sehemu ya kawaida sana!!
ukawaida upo wapi hapa!?au hujawahi ona watu wakihama baa kwa ongezeko la sh 50?
ukawaida upo wapi hapa!?au hujawahi ona watu wakihama baa kwa ongezeko la sh 50?
bora zero-1500 flat rate
bora chawote-1400 na 1500 kwa baadhi
Jmosi wakuu!!
mtaani kwetu hadi 1300 ziponadhani ndo bei halali ya TBL! stuka!
Hahahaha nilihama Matungucha kwa ajili ya ongezeko la gafla la sh. 100/=
ukawaida upo wapi hapa!?au hujawahi ona watu wakihama baa kwa ongezeko la sh 50?
bora zero-1500 flat rate
bora chawote-1400 na 1500 kwa baadhi
HAHAHAHA!done. Hayo mengine tuachia, tutawasiliana PM huko for obvious reasons, ila huyo jamaa mwambia asije manake hatutaki 'atununulie' si tunaweza, najua atataka kuosha jina tu
Msasha Fidel hapana!!!! Huko siwezi tia timu tena!! Fidel No!! Karibuni Billonaires club one weekend. mbili mbili sio Mbaya.
dah, I guess wewe ni Injinia.Yaani kwa simpo kalkulesheni kila unapokunywa bia tatu bilioneaz klub unakuwa umemwaga bia moja zero pub!
I.e Bia 3 bilioneaz = bia nne Zero pub = bia nne CHAWOTE + 400 za soda ya ELIZAAAZ!
Chawote + Zero are there to STAY!
hahahahahaha!Yaani kwa simpo kalkulesheni kila unapokunywa bia tatu bilioneaz klub unakuwa umemwaga bia moja zero pub!
I.e Bia 3 bilioneaz = bia nne Zero pub = bia nne CHAWOTE + 400 za soda ya ELIZAAAZ!
Chawote + Zero are there to STAY!
ha ha ha ha!! aisee kuna siku nilkuja matungucha nilipata sipu ya mbuzi pale kigorofani mpaka leo naikumbuka!!! afadhali ulihama. you are giving me a chance to go there!!