Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

ndio maana Bongo movie imekufa ikiwa mtu mzima kama Henry Kilewo anaweza kujiazishia uzi mwenyewe nani atanunua Movies [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]...

Ila nyie wabongo bwana.
 
Watu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.
Mbona nzuri sana ,naomba ongezea nyamanyama ilifanyikafanyikaje bila mc?
 
Uzi wa mwaka 2011 huu, mtu kafunga ndoa kaja kujianzishia Uzi humu anasifu maharusi na harusi kumbe yeye ndio mhusika......JF inahifadhi kumbumbu.
Kwahiyo wakiwa twitter wanaanzisha Uzi wenyewe na kucomment wenyewe kumtukana mh Rais ukiingilia kati kucoment anakubroke......halafu tumpe nchi... Ah ah
 
Uzi wa mwaka 2011 huu, mtu kafunga ndoa kaja kujianzishia Uzi humu anasifu maharusi na harusi kumbe yeye ndio mhusika......JF inahifadhi kum

Uzi wa mwaka 2011 huu, mtu kafunga ndoa kaja kujianzishia Uzi humu anasifu maharusi na harusi kumbe yeye ndio mhusika......JF inahifadhi kumbumbu.
ni suala la kujisahau mkuu

Badala ya kutumia fyekelo lake la pembeni Red one akajisahau akatumia verified account yenye majina yake halisi kujisifia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…