Jamaa anakuambia "...kiukweli kaka yetu..." kumbe ni himself... Dah<br />
<br />
Siyo KILEO ni KILEWO ile ya marangu kiukweli kaka yetu anajua kuchagua na mtoto wao tulimuona
Ilikufa lini?Ndoa ilishakufa wewe unatoa hongera, au hongera kwa kuachana?
Kitambo sana hadi wakaanza kudhalilishana mitandaoniIlikufa lini?
Daah<br />
<br />
Dua la kuku halimpati mwewe
daaaah huu Uzi umejua kunivunja mbavu...
bwana harusi sijui aliwaza nini
Jamii forums kuna vituko π€£π€£π€£.Jamaa anakuambia "...kiukweli kaka yetu..." kumbe ni himself... Dah
Mmmh,nahisi hapo vyuma vilikaza tangu zamani sana.vyeo vya bongo shidah!!mfukoni holla.!!![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hakika mkuu.Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.
Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
π π π π πWatu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.
Ila Kileo aiseeKitambo sana hadi wakaanza kudhalilishana mitandaoni
Kafanyaje aisee?Ila Kileo aisee