Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Hili picha likiendelea dj nelly anacheka kwa dharau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hivi huyo dj siku hizi yuko wapi maana mawingu sijui kama anapatikana?Hili picha likiendelea dj nelly anacheka kwa dharau
Afu na ww sijui ulitoka wapi kwenda kuoa beki 3 afu mtaliki. Acha udhalilike sasaYule katibu wa mkoa wa kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam na mwanadada joyce kiria mtangazaji wa EATV siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake bwa godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo, wengi wawashiriki walipongezasherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hawo.
Linakaribia kumpata mwewe<br />
<br />
Dua la kuku halimpati mwewe
Huu utabiri unaweza kutimia, maskini Kileo.Tunangojea ya tatu.....na ya nne
[emoji23][emoji23]yametimia<br />
<br />
Dua la kuku halimpati mwewe
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] 😛 😛 😛 😛Linakaribia kumpata mwewe
Kilewo toka zamani hana hela alimuoa Joyce ili alelewe
Watu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.
Joyce amechoka kumlea ...mpaka boxer anataka anunuliwe hata siku moja hata kuleta mkate watoto wanywe chai hawezi.....Joyce amemvumilia sana uzalendo umemshindaNa Joyce alimpenda ili amlee! Leo malezi yameisha?. Mdada amejishusha sana! Anahaiba nzuri na muonekana mzuri-ni bora angeishia kusema Ndoa yake inamikwamo kwa sasa ! Lakini kuanza kuonyesshana nani anaweza lipi na hasa eneo la Kipatao huku nikupotoka. Iwe mwanaume au wanamke yeyote anayechanganya isssue ya kipatao kweney ndoa au mahusiano ya mapenzi -huo uhusianao au ndoa ni mfu(Haidumu)
mheshimiwa kamanda Kilewo nakusalimia tuYule katibu wa mkoa wa kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam na mwanadada joyce kiria mtangazaji wa EATV siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake bwa godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo, wengi wawashiriki walipongezasherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hawo.
Joyce amechoka kumlea ...mpaka boxer anataka anunuliwe hata siku moja hata kuleta mkate watoto wanywe chai hawezi.....Joyce amemvumilia sana uzalendo umemshinda