Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Kiko wapiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka zenu wachinjwe xmas acha kuwatetea 😂😂😂Acha bwana ni huyu makasifa tu
Kajisifia kweli humu 😂😂😂Mwamba alifungua uzi Kwa ID ya Kibacha ikimpamba Kilewo, VAR ya JF ikawanasa kama ndugu moya
Wasanii na bongo movie ndio zao 😂😂Ndoa mkifunga kwa mbwembwe
Siku mkipigana chini,inakuwa mtihani kwerikweri
Ova
Fukua mi kazi yangu kuchekaaaKaka zenu wachinjwe xmas acha kuwatetea 😂😂😂
Huyu kanivunja mbavu sana leo, ngoja nitulie nifukue kaburi lingine
Hizi siasa 🙌🙌Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.
Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
Wewe kaa kimasta soon naibuka na pdf lingine 😂😂😂😂Fukua mi kazi yangu kuchekaaa
Pamoja sana makamanda wa nguvu. Tupo pamoja mpaka kieleweke.
Huyu huyu mkuu ila uzi ni wa 2011 just in caseJoyce kiria huyuhuyu au?
Hisia zangu zinaniaminisha wewe ndo Joyce mwenyewe Mrs kilewoItoshe kusema NGACHOKA nimecheka mpk machozi 😂😂😂
Wanaume wa kichaga mchinjwe xmas tuwanywe supu
Najua. Ila imeuliza tu maana sasahivi ako na mwingineHuyu huyu mkuu ila uzi ni wa 2011 just in case
AiseWewe kaa kimasta soon naibuka na pdf lingine 😂😂😂😂
Ila wachaga mna kitu kwenye tasnia ya bongo movie
Hapana alitumia fake account😅😅😅Ila si alitumia Id halisi kujisifia? Au ilikuaje? Maana ukirudi mwanzo wa uzi ni id halisi.
😅DihaMahi 😂😂😂
JAMAA HAKUJUA KAMA ANAOA JINI.Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.
Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
Dah masikitiko ni kwamba ilishaporomoka miaka kadhaa iliyopita hii ndoaMungu aitunze ndoa Yao