Ndiyo wamejua sasa kuwa ugaidi ni biashara kichaaUtaratibu ni ule ule, lazima wavue nguo zote (kasoro boxer) kabla ya kuomba kujisalimisha, Ni hatua za kiusalama kwa tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.
They did rejoice on 7th October right?
View attachment 2838046
Na kweli tunajutia sana hatutarudia tenaIsrael wamewaweza mnoo magaidi safari hii, yaani ukijisalimisha tu, lazima uvue nguo na kamera ikurekodi. Hamas wachache waliobakia nina uhakika huko waliko wanajutia mnoo tukio la 7 oktoba.
unaamin Hamas wanafananaje? Je hamas wote ni wapiganaj? Hujui kuwa kuna vitengo mbali mbali , tuache uvivu wa kufikiriIDF sasa wamenza Usanii sawa ni jeshi lenye nguvu.
Lakini je na huyo jamaa mwenye likitambi hicho ni Hamas?
Sw Israel inateketea , umefurahi ?Maigizo mnayaweza, Israel inateketea.
ni kwel hamas hawajawai uliwa bali ni watoto , wanawake na wazee ndo huuliwa , pia hawa sio hamas , Je kwann Hamas hawasongi mbele km kwel wao hawafi bali waisrael ndo wanakufaHakuna mwanajeshi wa hamas hapo hata mmoja hao ni kama wale wa juzi waliopakiwa kwenye lori wakafungwa vitambaa usoni .
Sw wanaigiza wakufurahishe ww , hii nchi uislam umewatia wengi ukichaaMaigizo pia watu husalimisha
Wapiganaji wa Hamasi siku zote hufunika/huficha sura zao wakiwa kazini, sasa basi hata huyo bwana Huenda ni Hamasi sababu nani anayewajua Hamasi wakati wenyewe kila kitu ambacho ni utambulisho wao huuficha?The individual in the image is widely recognized in Beit Lahia. Identified as Munir Qeshta, residents in the town affirm that he is a civilian with no affiliations to any faction.
The footage below is weird: how does the IOF strip them while permitting them to carry weapons?
😂😂😂
Mtu aliye kwenye picha anatambulika sana huko Beit Lahia. Akitambulika kama Munir Qeshta, wakaazi katika mji huo wanathibitisha kuwa yeye ni raia asiye na uhusiano na kikundi chochote.
Picha hapa chini ni ya kushangaza: Je! IOF huwavuaje huku ikiwaruhusu kubeba silaha?
Wasonge mbele kwenda wapi? Wao wanapiga ndani ya mipaka ya israeli moja kwa moja na wanapambana na IDF hapo hapo walipo.ni kwel hamas hawajawai uliwa bali ni watoto , wanawake na wazee ndo huuliwa , pia hawa sio hamas , Je kwann Hamas hawasongi mbele km kwel wao hawafi bali waisrael ndo wanakufa
Hao ni raia siyo wanamgambo wa hamas.Basi sema tu hao ni wanajeshi wa Idf ili imani yako iimarike zaidi
Hahaha 🤣 sasa wewe ufahamu hata Hamas ni nini kutokana na ulivyokuwa punguani unamezeshwa kila propaganda.Wapiganaji wa Hamasi siku zote hufunika/huficha sura zao wakiwa kazini, sasa basi hata huyo bwana Huenda ni Hamasi sababu nani anayewajua Hamasi wakati wenyewe kila kitu ambacho ni utambulisho wao huuficha?
Hata wewe mwenyewe Ritz huenda ni Hamasi ila hakuna anayeweza kulizuibitisha hilo mpaka siku IDF wakudabue na kukubakiza na boxer.
Nina access net muda wote, wajinga hawawezi kuisha kuna msemo ukimiliki vyombo vya habari unamiliki na akili za wajinga😂 hiyo video ya kutengeneza ndiyo Hamas daaah Hamas wote wamevaa sandoz na wameshika vitambulisho😂Kanunue vocha ya jero ujaze MB ucheki video,
Unaelewa kweli ulichokiandika?Hahaha 🤣 sasa wewe ufahamu hata Hamas ni nini kutokana na ulivyokuwa punguani unamezeshwa kila propaganda.
Israel is terrible at Hollywood acting and playing the Call of Duty video game.
Kwa hiyo jeshi la Hamas limepoteza wanajeshi wake hao waliokamatwa😂
Vinafanan na hio picha uliyoweka iliyoeditiwa mkono wa kushoto ??Nina access net muda wote, wajinga hawawezi kuisha kuna msemo ukimiliki vyombo vya habari unamiliki na akili za wajinga😂 hiyo video ya kutengeneza ndiyo Hamas daaah Hamas wote wamevaa sandoz na wameshika vitambulisho😂
View: https://x.com/insiderworld_1/status/1733574742295130541?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw