Heri nusu shari kuliko shari kamili: Magaidi wa Hamas wanaendelea kuweka silaha chini na kujisalimisha kwa jeshi la Israel.

Heri nusu shari kuliko shari kamili: Magaidi wa Hamas wanaendelea kuweka silaha chini na kujisalimisha kwa jeshi la Israel.

Sasa kama mambo yako hivo! Kulikuwa na faida gani ya kubadilishana wafungwa? Hamasa wamepata nini? Nini faida ya hii vita kwa watu wa Palestinians? Watu wa Gaza wameshindwa kujiongeza badala yake wanatafuta huruma ya katiba mataifa, usipojijali hakuna mtu wa kukuhurumia
 
IDF sasa wamenza Usanii sawa ni jeshi lenye nguvu.

Lakini je na huyo jamaa mwenye likitambi hicho ni Hamas?
unaamin Hamas wanafananaje? Je hamas wote ni wapiganaj? Hujui kuwa kuna vitengo mbali mbali , tuache uvivu wa kufikiri
 
Hakuna mwanajeshi wa hamas hapo hata mmoja hao ni kama wale wa juzi waliopakiwa kwenye lori wakafungwa vitambaa usoni .
ni kwel hamas hawajawai uliwa bali ni watoto , wanawake na wazee ndo huuliwa , pia hawa sio hamas , Je kwann Hamas hawasongi mbele km kwel wao hawafi bali waisrael ndo wanakufa
 
The individual in the image is widely recognized in Beit Lahia. Identified as Munir Qeshta, residents in the town affirm that he is a civilian with no affiliations to any faction.

The footage below is weird: how does the IOF strip them while permitting them to carry weapons?
😂😂😂

Mtu aliye kwenye picha anatambulika sana huko Beit Lahia. Akitambulika kama Munir Qeshta, wakaazi katika mji huo wanathibitisha kuwa yeye ni raia asiye na uhusiano na kikundi chochote.

Picha hapa chini ni ya kushangaza: Je! IOF huwavuaje huku ikiwaruhusu kubeba silaha?
Wapiganaji wa Hamasi siku zote hufunika/huficha sura zao wakiwa kazini, sasa basi hata huyo bwana Huenda ni Hamasi sababu nani anayewajua Hamasi wakati wenyewe kila kitu ambacho ni utambulisho wao huuficha?

Hata wewe mwenyewe Ritz huenda ni Hamasi ila hakuna anayeweza kulizuibitisha hilo mpaka siku IDF wakudabue na kukubakiza na boxer.
 
ni kwel hamas hawajawai uliwa bali ni watoto , wanawake na wazee ndo huuliwa , pia hawa sio hamas , Je kwann Hamas hawasongi mbele km kwel wao hawafi bali waisrael ndo wanakufa
Wasonge mbele kwenda wapi? Wao wanapiga ndani ya mipaka ya israeli moja kwa moja na wanapambana na IDF hapo hapo walipo.
 
😄 Jeshi la Israel walivyo kuwa mastupid wanadhani wote wajinga kama we mtoa mada.

Hawawezi danganya watu wenye akili zao wote duniani isipokuwa wajinga kama mtoa mada na anaye amini hizo propoganda.

Kwanza huyo mzee aliye bebeshwa bunduki? Ni mzee anafanya kazi za carpenter anafahamika Gaza nzima 😄

Pili mwenye kutumia akili atafahumu wazi ujinga wa film hi ambayo Israel anataka kuwaonyesha watu wake kashika vijana wa Hamasi wanadhani wa Israel wote pia wajinga vipi Mateka awe hana nguo afu ana bunduki? Alivua vipi nguo? Vipi awe na bunduki umuwachie je akikupiga risasi? Heshimuni akili zetu kidogo msiwe mnaleta ujinga wa Israel hapa, na uhakika hi video itakuwa aibu ya miaka kwa jeshi la Israel 😄

Hata jeshi la congo haliwezi kuwa na ujinga wa hivi 😄

Israel kaishiwa hana jipya afu fatilieni story vizuri kanza tangaza taratibu ukweli wanajeshi wake 5000 wana vilema na bado itabidi aseme ukweli tu karibu atakiri waliouliwa zaidi ya 7000 na vilema zaidi ya 25000.

Hamasi kavuruga akili zao, mpaa Bibi analia mkinifukuza kazi ya uwaziri mkuu Israel ndio mwisho wake 😄

Sa Nentanyahu we ni waziri mkuu umefanya kitu gani kuifanya Israel safe, sijaona zaidi linapokea kipigo kila kukicha, missiles zinateremka kama mvua helicopter zako kila kukicha zinabeba maiti na vilema na Hamasi yupo kazini hujawuwa hata wanamgambo wake 10 zaidi ya wanne tena kwa kupewa infom na wanafiki wa kipalestin kina Abbas 😄

Poleni sana taifa la wajinga la teule ukristo 😄
 
Nilichokuja kugundua ukiendekeza sana udini utauishia kuumia, hii vita watu wengi wanatetea ili kupata ile emotional comfotability.

israeli wao wanafanya propaganda kwamba mtu huyu ni raia, mara ni seremala blah blah kibao.

Yaani mtu yupo radhi kufurahi Hamas hawakamatwi ila anafurahi kwamba israel anafanya propaganda kwa raia, mbaya zaidi na yeye anaumia kwa kutumia EXCUSE za ovyo.

Hii vita ina maslahi sana kuanzia waarabu wanaowazunguka wapalestine na hizo Nchi za magharibi.

Kwakweli mbinu zilizotumika kutoa raia wasio na hatia kwenye ardhi ni hatari sana.
 
Wapiganaji wa Hamasi siku zote hufunika/huficha sura zao wakiwa kazini, sasa basi hata huyo bwana Huenda ni Hamasi sababu nani anayewajua Hamasi wakati wenyewe kila kitu ambacho ni utambulisho wao huuficha?

Hata wewe mwenyewe Ritz huenda ni Hamasi ila hakuna anayeweza kulizuibitisha hilo mpaka siku IDF wakudabue na kukubakiza na boxer.
Hahaha 🤣 sasa wewe ufahamu hata Hamas ni nini kutokana na ulivyokuwa punguani unamezeshwa kila propaganda.

Israel is terrible at Hollywood acting and playing the Call of Duty video game.

Kwa hiyo jeshi la Hamas limepoteza wanajeshi wake hao waliokamatwa😂
 
Unaelewa kweli ulichokiandika?
 
Back
Top Bottom