kiburi mbaya zaidi!Mkuu, hata uchafu nao sio rahisi kubadilika, shukuru kama wako msafi
Kuna watu wengi wameshaongea sana na kupiga kelele bila dalili ya mtu kubadilika, kuna nyuzi zimo humu jukwaani wadau wakilalamika hali ya usafi ya wake zao kuwa tatizo sugu
Wewe ni mwanamke kiburiHata biblia imewakataa wanawake wenye viburi. Biblia inasema bora kuishi jangwani kuliko kuishi nyumba moja na mwanamke mgomvi. Mchafu anaweza rekebishika hata kwa 50%.
Hata biblia imewakataa wanawake wenye viburi. Biblia inasema bora kuishi jangwani kuliko kuishi nyumba moja na mwanamke mgomvi. Mchafu anaweza rekebishika hata kwa 50%.
Uchafu upiBora mwanamke mwenye kiburi. Mchafu hapana.
Hata biblia imewakataa wanawake wenye viburi. Biblia inasema bora kuishi jangwani kuliko kuishi nyumba moja na mwanamke mgomvi. Mchafu anaweza rekebishika hata kwa 50%.
Uchafu wowote ule.Uchafu upi
Mchafu maana yake hata kujisafisha na kujiswafi tu mtihani, utakutana na pads chini ya kitanda, chupi zitawekwa tu kila mahali, hazifuliwi, chumba chenu ambacho huyo dada hatakuwa na access kitakuwa 🗑 🚮Heri mara mia niishi na mchafu kuliko mwenye kiburi, nitaajiri dada wa kazi afanye usafi pale, ila wa kiburi tutapasuana kwenye hiyo nyumba.