Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen Amen babu Asprin. Hiyo surprise kama ya uncle magu utaifanya saa ngapi jamani mwee, ngoja nisepe usinikuteAlyekwambia niko chobingo ana mamlaka ya kiibilisi. Mtumishi wa Mungu niko madhabahuni nawaombea watu wafutiwe dhambi zao.... hasa za uzinzi.
Hivi sasa niko bize kujiandaa na safari ya kushtukiza kwa huyu mrembo Heaven Sent. Nataka nijue kama vyakula na vyote vitumikavyo vimefuata maadili na masharti ya manunuzi au kuna ufisadim juu yake.
Baada ya kusema hayo, sote kwa pamoja tusimmame kumwombea maisha mema na marefu huyu kiumbe mzaliwa leo.
Mwenyezi Mungu amjalie maisha mema na marefu... awashuhudie wajukuu wa wajukuu zake wakigombania chakula kwenye meza yake.
Grow wise Heaven Sent
Daah mpendwa umuache mkeo kisa mtu tu ambaye unamsoma kwa maandishi? Baki tu na mkeo coz not all the time the pasture is going to be greener on the other sideWewe Heaven Sent nakupenda sema tu hujui,natamani hata nimuache mke wangu kwa ajili yako
Mmh na yeye ni wivu ama nini, mwambie ajiamini banaTatizo ni sumbai mamito.
Ananinyima kuja huku
Daah mpendwa umuache mkeo kisa mtu tu ambaye unamsoma kwa maandishi? Baki tu na mkeo coz not all the time the pasture is going to be greener on the other side
Mmh na yeye ni wivu ama nini, mwambie ajiamini bana
Nashukuru mpendwa, ila hapanaHahaha,wewe sema kama uko tayari mimi nitangaze ndoa, sitojali hata kama the other side kutakuwa na kiangazi
Aah kumbe mpo honey moonMmmmh...dada mtumishi ndoa changaa...
Nashukuru mpendwa, ila hapana
Aah kumbe mpo honey moon
Hahaha kwenda zako, jiandae tu kuwa maid of honorNipo hapa na rada, kubali uone ninavyotoka nduki.
Wee Sitaki wehu wako mbele za wakweHahahaaaa!! Itabidi yaani nitakuwa nakufinya hiyo siku na kukukonyeza!
Mmh utabaki tu mapokezi huko tena utakuwa unawaelekeza wenye magari pakupark, hukawii kuniharibia shughuliJiandae la sivyo unibadilishie position, nibakie kwenye chakula
Aah basi utabaki home kulinda nyumbaHata hapo sio pabaya, fursa!!