Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Alyekwambia niko chobingo ana mamlaka ya kiibilisi. Mtumishi wa Mungu niko madhabahuni nawaombea watu wafutiwe dhambi zao.... hasa za uzinzi.

Hivi sasa niko bize kujiandaa na safari ya kushtukiza kwa huyu mrembo Heaven Sent. Nataka nijue kama vyakula na vyote vitumikavyo vimefuata maadili na masharti ya manunuzi au kuna ufisadim juu yake.

Baada ya kusema hayo, sote kwa pamoja tusimmame kumwombea maisha mema na marefu huyu kiumbe mzaliwa leo.

Mwenyezi Mungu amjalie maisha mema na marefu... awashuhudie wajukuu wa wajukuu zake wakigombania chakula kwenye meza yake.

Grow wise Heaven Sent
Amen Amen babu Asprin. Hiyo surprise kama ya uncle magu utaifanya saa ngapi jamani mwee, ngoja nisepe usinikute
 
Last edited by a moderator:
Wewe Heaven Sent nakupenda sema tu hujui,natamani hata nimuache mke wangu kwa ajili yako
Daah mpendwa umuache mkeo kisa mtu tu ambaye unamsoma kwa maandishi? Baki tu na mkeo coz not all the time the pasture is going to be greener on the other side
 
Last edited by a moderator:
Daah mpendwa umuache mkeo kisa mtu tu ambaye unamsoma kwa maandishi? Baki tu na mkeo coz not all the time the pasture is going to be greener on the other side

Hahaha,wewe sema kama uko tayari mimi nitangaze ndoa, sitojali hata kama the other side kutakuwa na kiangazi
 
Back
Top Bottom