Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Odemba wapo wawili tu wanaofahamika.Sijui wangapi walikuwa wanamfahamu Odemba, kifo kimetokea siku nne zilizopita.
Alikuwa anasafiri ndani ya basi kwenda Arusha, alipofika Mombo akaugua, akapata low blood pressure, akapelekwa hospitali Mombo, hali yake ikazidi kuwa mbaya and he passed away.
Mwili wake ukasafirishwa na ambulance ukaletwa Dar Es Salaam hospitali ya Lugalo. Kesho asubuhi itafanyika service pale Lugalo ya kuuaga mwili, na kesho utapelekwa Musoma kwa mazishi.
M.A.P Herman Odemba.
Huyu Odemba alikuwa mfanyabiashara. Miriam nadhani ni ndugu yao. Huyu mtu alikuwa rafiki sana na Raila, Raila alipokuwa na kesi Mahakamani kupinga matokeo ya Uchaguzi, huyu mtu alikuwa Nairobi pamoja na Team Raila.R.I.P
Odemba tunaemfahamu ni Miriam odemba je wana undugu?
Mtu yeyote anayefia kwenye basi hana hela huyo
Huo ndii ukweliPuumbavu
Hana umaarufu hatumjui
Mtu yeyote anayefia kwenye basi hana hela huyo
Elewa point, hakuna tajiri anasafiri kwa basi umbali huo,Je, Kifo kina taarifa au Wewe unajua utakufaje??, Omba toba mapema usijepata kifo cha aibu.