Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Sijui wangapi walikuwa wanamfahamu Odemba, kifo kimetokea siku nne zilizopita.
Alikuwa anasafiri ndani ya basi kwenda Arusha, alipofika Mombo akaugua, akapata low blood pressure, akapelekwa hospitali Mombo, hali yake ikazidi kuwa mbaya and he passed away.
Mwili wake ukasafirishwa na ambulance ukaletwa Dar es Salaam hospitali ya Lugalo. Kesho asubuhi itafanyika service pale Lugalo ya kuuaga mwili, na kesho utapelekwa Musoma kwa mazishi.