Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ni ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza.
Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na team vizuri. Wanashindwa ikosoa tunaona ipo perfect. Kumbe kuna sehemu tunapaswa kujiweka sawa.tuambiwe ukweli tufanye vizuri.
Wenzetu na kile kibetina chao wamekuwa wajeuri hawahangaiki na vyombo vya habari. Wanapondwa wana kebehiwa kila siku ila wao wameamua kucheza mpira.
Wewe unawekeza hadi kwa wachezaji wa team pinzani na mkia wakicheza nao wakaze. Kumbe hatujui tunawakomaza sana Simba. Ni sawa na kumhonga mwalimu atunge mtihani mwepesi kwa mtoto wako na mgumu kwa mwingine. Unamsaidia yule mbaya wako. Na unamwaribu mtoto wako.
Ndo maana utashangaa mkia wanaonekana kufanya vibaya matches za hapa lakini za nje wanafanya vizuri. Hii tabia inatudumaza sisi yanga. Tunapocheza kwenye ligi na teams ambazo zimeshalainishwa tunawapiga nyingi matches za nje zinatupa changamoto sana.
Mimi nimeona niseme potelea pote mkiniita nani sijali. Hii team tunaijua sisi. Haiwezi endelea kwa kuhujumu wengine na kufanya fitna.