Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unastahili kabisa kujiita Chizi Maarifa.Hujui kitu we bwege. Yanga huwezi ukaja na kichwa chako kizima unataka nawe upewe tiketi za bure kuingia uwanjani. Nlikuona huna maana kabisa. Badala uchangie team unakuja kupanga foleni upewe tiketi za bure. Na huku JF unasifia hata ujinga....shabiki kitumbua wewe.
Utopolo wenye akili mmeongezeka sasa mmekuwa watatu..1) Sunday Manara 2) Kikwete 3) Wewe. Katika utopolo nzimaNi ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza.
Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na team vizuri. Wanashindwa ikosoa tunaona ipo perfect. Kumbe kuna sehemu tunapaswa kujiweka sawa.tuambiwe ukweli tufanye vizuri.
Wenzetu na kile kibetina chao wamekuwa wajeuri hawahangaiki na vyombo vya habari. Wanapondwa wana kebehiwa kila siku ila wao wameamua kucheza mpira.
Wewe unawekeza hadi kwa wachezaji wa team pinzani na mkia wakicheza nao wakaze. Kumbe hatujui tunawakomaza sana Simba. Ni sawa na kumhonga mwalimu atunge mtihani mwepesi kwa mtoto wako na mgumu kwa mwingine. Unamsaidia yule mbaya wako. Na unamwaribu mtoto wako.
Ndo maana utashangaa mkia wanaonekana kufanya vibaya matches za hapa lakini za nje wanafanya vizuri. Hii tabia inatudumaza sisi yanga. Tunapocheza kwenye ligi na teams ambazo zimeshalainishwa tunawapiga nyingi matches za nje zinatupa changamoto sana.
Mimi nimeona niseme potelea pote mkiniita nani sijali. Hii team tunaijua sisi. Haiwezi endelea kwa kuhujumu wengine na kufanya fitna.
Kwa hiyo na wewe ni Yanga siyo! Maana karibia wote humu jukwaani kila timu yenu ikifungwa, basi lawama zote atapelekewa Matola na Barbara!Kama unaamini hivyo kuwa ni mashabiki wa Simba kwa kivuli cha kuwa wao ni Yanga wapo kazini.
Kwanini basi usiamini kuwa hata wale wanaomkataa CEO na Matola ni ni Yanga kwa kivuli cha Simba?
Al Hilal imewachanganya sana yaani
Ivi Fei toto na Aziz Key walichezaa ?Ni ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza.
Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na team vizuri. Wanashindwa ikosoa tunaona ipo perfect. Kumbe kuna sehemu tunapaswa kujiweka sawa.tuambiwe ukweli tufanye vizuri.
Wenzetu na kile kibetina chao wamekuwa wajeuri hawahangaiki na vyombo vya habari. Wanapondwa wana kebehiwa kila siku ila wao wameamua kucheza mpira.
Wewe unawekeza hadi kwa wachezaji wa team pinzani na mkia wakicheza nao wakaze. Kumbe hatujui tunawakomaza sana Simba. Ni sawa na kumhonga mwalimu atunge mtihani mwepesi kwa mtoto wako na mgumu kwa mwingine. Unamsaidia yule mbaya wako. Na unamwaribu mtoto wako.
Ndo maana utashangaa mkia wanaonekana kufanya vibaya matches za hapa lakini za nje wanafanya vizuri. Hii tabia inatudumaza sisi yanga. Tunapocheza kwenye ligi na teams ambazo zimeshalainishwa tunawapiga nyingi matches za nje zinatupa changamoto sana.
Mimi nimeona niseme potelea pote mkiniita nani sijali. Hii team tunaijua sisi. Haiwezi endelea kwa kuhujumu wengine na kufanya fitna.
We jamaa ni upstair akili kubwaSimba akicheza na timu za hapa kwetu mara nyingi timu hizo zina ahidiwa zawadi ya pesa zikiifunga au kudroo na Simba.
Sijawahi kusikia hata mara moja timu pinzani kwa Yanga ina ahidiwa pesa ikiifunga au kudroo na Yanga.
Wanaotoa ahadi ni wadau wa Yanga ili tu Yanga ichukue ubingwa wa ligi mifano ya timu hizo iko mingi sana.
Bila kujua kitendo hicho kina iimarisha timu ya Simba zaidi.
Jamaa akili kubwa na anaujua mpira kwenye angle tofauti tofauti na ukweli ndo huo.Uzi bora sana
Jamaa kaongea ukweli yanga wakiendelea na hii tabia ya kuwahonga marefa rejea game dhidi ya Azamu fc,wakiendelea kuwaahidi kuwapa milion ishirini wakishinda na milion kumi wakidroo timu za ligi zinapokutana na Simba narudia wakiendelea hivi hawatafika popote kimataifa na Simba itazidi kupeta kwani wao kwa sasa kila mechi ni fainali ili kuwaprove rong wale wanaowabeza.Utopolo wenye akili mmeongezeka sasa mmekuwa watatu..1) Sunday Manara 2) Kikwete 3) Wewe. Katika utopolo nzima
Mbona koment zako nyingi zinamlenga Matola????Kwa hiyo na wewe ni Yanga siyo! Maana karibia wote humu jukwaani kila timu yenu ikifungwa, basi lawama zote atapelekewa Matola na Barbara!
Kwa hiyo kama hamna simile, basi na mashabiki wa Yanga pia tunatakiwa kuwaiga? Kwa bahati mbaya sana, mambo hayako hivyo kwa upande wetu.Mbona koment zako nyingi zinamlenga Matola????
Matola ameajiliwa ili afanye vizuri mana ndo kazi yake akizingua anazinguliwa Simba hawana simile kwenye kutafta matokeo .
Maneno meengi! Huko Kimataifa kwenye mna maajabu gani? Kufika robo fainali! Au maajabu ya kufanikiwa kuitangaza nchi kupitia ule ushirikina wenu kule Afrika ya Kusini?Jamaa kaongea ukweli yanga wakiendelea na hii tabia ya kuwahonga marefa rejea game dhidi ya Azamu fc,wakiendelea kuwaahidi kuwapa milion ishirini wakishinda na milion kumi wakidroo timu za ligi zinapokutana na Simba narudia wakiendelea hivi hawatafika popote kimataifa na Simba itazidi kupeta kwani wao kwa sasa kila mechi ni fainali ili kuwaprove rong wale wanaowabeza.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hujui kitu we bwege. Yanga huwezi ukaja na kichwa chako kizima unataka nawe upewe tiketi za bure kuingia uwanjani. Nlikuona huna maana kabisa. Badala uchangie team unakuja kupanga foleni upewe tiketi za bure. Na huku JF unasifia hata ujinga....shabiki kitumbua wewe.
Wewe robo fainal umefika lini Utopolo wewe.Maneno meengi! Huko Kimataifa kwenye mna maajabu gani? Kufika robo fainali! Au maajabu ya kufanikiwa kuitangaza nchi kupitia ule ushirikina wenu kule Afrika ya Kusini?
Na ukiongelea habari ya nafasi nne sijui!! Kwa Yanga siyo big issue!!
Maana yeye ana uwezo wa kwenda kwa uwezo wake. Mfano msimu uliopita alichukua makombe yote ya ndani! Na mwaka atachukua tena bila shaka!
Ama hakika, roho unakuuma sana na itakuuma zaidi maana Simba Sc huyooo makundi.[emoji23]Maneno meengi! Huko Kimataifa kwenye mna maajabu gani? Kufika robo fainali! Au maajabu ya kufanikiwa kuitangaza nchi kupitia ule ushirikina wenu kule Afrika ya Kusini?
Na ukiongelea habari ya nafasi nne sijui!! Kwa Yanga siyo big issue!!
Maana yeye ana uwezo wa kwenda kwa uwezo wake. Mfano msimu uliopita alichukua makombe yote ya ndani! Na mwaka atachukua tena bila shaka!
Kumbuka huko makundi nyinyi hamjaingia tangu 1998 na hata sasa wakati ambao mnajiona mpo kwenye prime kazi hiyo imewashinda, sasa sijui nguvu ya kupondea uwezo wa Simba Sc kufika robo fainali mfululizo unautoa wapi..!Maneno meengi! Huko Kimataifa kwenye mna maajabu gani? Kufika robo fainali! Au maajabu ya kufanikiwa kuitangaza nchi kupitia ule ushirikina wenu kule Afrika ya Kusini?
Na ukiongelea habari ya nafasi nne sijui!! Kwa Yanga siyo big issue!!
Maana yeye ana uwezo wa kwenda kwa uwezo wake. Mfano msimu uliopita alichukua makombe yote ya ndani! Na mwaka atachukua tena bila shaka!
Sawa! Ila ni baada ya kucheza mechi mbili na hao Waangola! Na siyo kabla ya hapo.Ama hakika, roho unakuuma sana na itakuuma zaidi maana Simba Sc huyooo makundi.[emoji23]
Hiyo ni quote ya ambacho ulisema, na rejea tena kusoma utafahamu zaidi.Kwa hiyo na wewe ni Yanga siyo! Maana karibia wote humu jukwaani kila timu yenu ikifungwa, basi lawama zote atapelekewa Matola na Barbara!
Nyie endeleeni kuwaonga hao makanjanja wawasifie kwenye media zao,mnyama yeye anachanja mbugaNi ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza.
Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na team vizuri. Wanashindwa ikosoa tunaona ipo perfect. Kumbe kuna sehemu tunapaswa kujiweka sawa.tuambiwe ukweli tufanye vizuri.
Wenzetu na kile kibetina chao wamekuwa wajeuri hawahangaiki na vyombo vya habari. Wanapondwa wana kebehiwa kila siku ila wao wameamua kucheza mpira.
Wewe unawekeza hadi kwa wachezaji wa team pinzani na mkia wakicheza nao wakaze. Kumbe hatujui tunawakomaza sana Simba. Ni sawa na kumhonga mwalimu atunge mtihani mwepesi kwa mtoto wako na mgumu kwa mwingine. Unamsaidia yule mbaya wako. Na unamwaribu mtoto wako.
Ndo maana utashangaa mkia wanaonekana kufanya vibaya matches za hapa lakini za nje wanafanya vizuri. Hii tabia inatudumaza sisi yanga. Tunapocheza kwenye ligi na teams ambazo zimeshalainishwa tunawapiga nyingi matches za nje zinatupa changamoto sana.
Mimi nimeona niseme potelea pote mkiniita nani sijali. Hii team tunaijua sisi. Haiwezi endelea kwa kuhujumu wengine na kufanya fitna.
Kabisa, nimependa paragraph namba (4) kwasababu kuna wakati tulizungumza namna ambavyo inaweza kuadhiri mpira mambo ya kuhonga.Jamaa akili kubwa na anaujua mpira kwenye angle tofauti tofauti na ukweli ndo huo.