Hersi hizo pesa ambazo unatumia kuwasaidia waandishi wa Habari si tungewekeza kwa Wachezaji wetu?

Hujui kitu we bwege. Yanga huwezi ukaja na kichwa chako kizima unataka nawe upewe tiketi za bure kuingia uwanjani. Nlikuona huna maana kabisa. Badala uchangie team unakuja kupanga foleni upewe tiketi za bure. Na huku JF unasifia hata ujinga....shabiki kitumbua wewe.
Unastahili kabisa kujiita Chizi Maarifa.
 
Ni ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza.

Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na team vizuri. Wanashindwa ikosoa tunaona ipo perfect. Kumbe kuna sehemu tunapaswa kujiweka sawa.tuambiwe ukweli tufanye vizuri.

Wenzetu na kile kibetina chao wamekuwa wajeuri hawahangaiki na vyombo vya habari. Wanapondwa wana kebehiwa kila siku ila wao wameamua kucheza mpira.

Wewe unawekeza hadi kwa wachezaji wa team pinzani na mkia wakicheza nao wakaze. Kumbe hatujui tunawakomaza sana Simba. Ni sawa na kumhonga mwalimu atunge mtihani mwepesi kwa mtoto wako na mgumu kwa mwingine. Unamsaidia yule mbaya wako. Na unamwaribu mtoto wako.

Ndo maana utashangaa mkia wanaonekana kufanya vibaya matches za hapa lakini za nje wanafanya vizuri. Hii tabia inatudumaza sisi yanga. Tunapocheza kwenye ligi na teams ambazo zimeshalainishwa tunawapiga nyingi matches za nje zinatupa changamoto sana.

Mimi nimeona niseme potelea pote mkiniita nani sijali. Hii team tunaijua sisi. Haiwezi endelea kwa kuhujumu wengine na kufanya fitna.
Utopolo wenye akili mmeongezeka sasa mmekuwa watatu..1) Sunday Manara 2) Kikwete 3) Wewe. Katika utopolo nzima
 
Kama unaamini hivyo kuwa ni mashabiki wa Simba kwa kivuli cha kuwa wao ni Yanga wapo kazini.

Kwanini basi usiamini kuwa hata wale wanaomkataa CEO na Matola ni ni Yanga kwa kivuli cha Simba?

Al Hilal imewachanganya sana yaani
Kwa hiyo na wewe ni Yanga siyo! Maana karibia wote humu jukwaani kila timu yenu ikifungwa, basi lawama zote atapelekewa Matola na Barbara!
 
Ni ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza.

Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na team vizuri. Wanashindwa ikosoa tunaona ipo perfect. Kumbe kuna sehemu tunapaswa kujiweka sawa.tuambiwe ukweli tufanye vizuri.

Wenzetu na kile kibetina chao wamekuwa wajeuri hawahangaiki na vyombo vya habari. Wanapondwa wana kebehiwa kila siku ila wao wameamua kucheza mpira.

Wewe unawekeza hadi kwa wachezaji wa team pinzani na mkia wakicheza nao wakaze. Kumbe hatujui tunawakomaza sana Simba. Ni sawa na kumhonga mwalimu atunge mtihani mwepesi kwa mtoto wako na mgumu kwa mwingine. Unamsaidia yule mbaya wako. Na unamwaribu mtoto wako.

Ndo maana utashangaa mkia wanaonekana kufanya vibaya matches za hapa lakini za nje wanafanya vizuri. Hii tabia inatudumaza sisi yanga. Tunapocheza kwenye ligi na teams ambazo zimeshalainishwa tunawapiga nyingi matches za nje zinatupa changamoto sana.

Mimi nimeona niseme potelea pote mkiniita nani sijali. Hii team tunaijua sisi. Haiwezi endelea kwa kuhujumu wengine na kufanya fitna.
Ivi Fei toto na Aziz Key walichezaa ?
 
Simba akicheza na timu za hapa kwetu mara nyingi timu hizo zina ahidiwa zawadi ya pesa zikiifunga au kudroo na Simba.
Sijawahi kusikia hata mara moja timu pinzani kwa Yanga ina ahidiwa pesa ikiifunga au kudroo na Yanga.

Wanaotoa ahadi ni wadau wa Yanga ili tu Yanga ichukue ubingwa wa ligi mifano ya timu hizo iko mingi sana.

Bila kujua kitendo hicho kina iimarisha timu ya Simba zaidi.
We jamaa ni upstair akili kubwa
 
Utopolo wenye akili mmeongezeka sasa mmekuwa watatu..1) Sunday Manara 2) Kikwete 3) Wewe. Katika utopolo nzima
Jamaa kaongea ukweli yanga wakiendelea na hii tabia ya kuwahonga marefa rejea game dhidi ya Azamu fc,wakiendelea kuwaahidi kuwapa milion ishirini wakishinda na milion kumi wakidroo timu za ligi zinapokutana na Simba narudia wakiendelea hivi hawatafika popote kimataifa na Simba itazidi kupeta kwani wao kwa sasa kila mechi ni fainali ili kuwaprove rong wale wanaowabeza.
 
Kwa hiyo na wewe ni Yanga siyo! Maana karibia wote humu jukwaani kila timu yenu ikifungwa, basi lawama zote atapelekewa Matola na Barbara!
Mbona koment zako nyingi zinamlenga Matola????
Matola ameajiliwa ili afanye vizuri mana ndo kazi yake akizingua anazinguliwa Simba hawana simile kwenye kutafta matokeo .
 
Kwa hiyo kama hamna simile, basi na mashabiki wa Yanga pia tunatakiwa kuwaiga? Kwa bahati mbaya sana, mambo hayako hivyo kwa upande wetu.
 
Jamaa kaongea ukweli yanga wakiendelea na hii tabia ya kuwahonga marefa rejea game dhidi ya Azamu fc,wakiendelea kuwaahidi kuwapa milion ishirini wakishinda na milion kumi wakidroo timu za ligi zinapokutana na Simba narudia wakiendelea hivi hawatafika popote kimataifa na Simba itazidi kupeta kwani wao kwa sasa kila mechi ni fainali ili kuwaprove rong wale wanaowabeza.
Maneno meengi! Huko Kimataifa kwenye mna maajabu gani? Kufika robo fainali! Au maajabu ya kufanikiwa kuitangaza nchi kupitia ule ushirikina wenu kule Afrika ya Kusini?

Na ukiongelea habari ya nafasi nne sijui!! Kwa Yanga siyo big issue!!
Maana yeye ana uwezo wa kwenda kwa uwezo wake. Mfano msimu uliopita alichukua makombe yote ya ndani! Na mwaka atachukua tena bila shaka!
 
Hujui kitu we bwege. Yanga huwezi ukaja na kichwa chako kizima unataka nawe upewe tiketi za bure kuingia uwanjani. Nlikuona huna maana kabisa. Badala uchangie team unakuja kupanga foleni upewe tiketi za bure. Na huku JF unasifia hata ujinga....shabiki kitumbua wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maneno meengi! Huko Kimataifa kwenye mna maajabu gani? Kufika robo fainali! Au maajabu ya kufanikiwa kuitangaza nchi kupitia ule ushirikina wenu kule Afrika ya Kusini?

Na ukiongelea habari ya nafasi nne sijui!! Kwa Yanga siyo big issue!!
Maana yeye ana uwezo wa kwenda kwa uwezo wake. Mfano msimu uliopita alichukua makombe yote ya ndani! Na mwaka atachukua tena bila shaka!
Wewe robo fainal umefika lini Utopolo wewe.

Tangu mwaka 1998 hujaingia makund ya Champions League Africa.

Jinga wewe

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Maneno meengi! Huko Kimataifa kwenye mna maajabu gani? Kufika robo fainali! Au maajabu ya kufanikiwa kuitangaza nchi kupitia ule ushirikina wenu kule Afrika ya Kusini?

Na ukiongelea habari ya nafasi nne sijui!! Kwa Yanga siyo big issue!!
Maana yeye ana uwezo wa kwenda kwa uwezo wake. Mfano msimu uliopita alichukua makombe yote ya ndani! Na mwaka atachukua tena bila shaka!
Ama hakika, roho unakuuma sana na itakuuma zaidi maana Simba Sc huyooo makundi.[emoji23]
 
Maneno meengi! Huko Kimataifa kwenye mna maajabu gani? Kufika robo fainali! Au maajabu ya kufanikiwa kuitangaza nchi kupitia ule ushirikina wenu kule Afrika ya Kusini?

Na ukiongelea habari ya nafasi nne sijui!! Kwa Yanga siyo big issue!!
Maana yeye ana uwezo wa kwenda kwa uwezo wake. Mfano msimu uliopita alichukua makombe yote ya ndani! Na mwaka atachukua tena bila shaka!
Kumbuka huko makundi nyinyi hamjaingia tangu 1998 na hata sasa wakati ambao mnajiona mpo kwenye prime kazi hiyo imewashinda, sasa sijui nguvu ya kupondea uwezo wa Simba Sc kufika robo fainali mfululizo unautoa wapi..!

[emoji23]
 
Kwa hiyo na wewe ni Yanga siyo! Maana karibia wote humu jukwaani kila timu yenu ikifungwa, basi lawama zote atapelekewa Matola na Barbara!
Hiyo ni quote ya ambacho ulisema, na rejea tena kusoma utafahamu zaidi.

Kwa maana kuwa usidhani kuwa hawa wanaopinga uongozi ni mamluki wa Simba, tambua hao ni wa Yanga

Tatizo lako huwa uhifadhi maneno au labda unaamua kujitoa tu fahamu

Kuna wiki kadhaa nilikuambia kuwa hata uwe Kiongozi Mzuri kiasi gani kupigwa ni jambo ambalo huwezi kuzuia.

Nikasema CEO Barbara kupingwa ni kawaida tu hata Mshindo Msolla walikuwa wakimpinga huku wakisema ana Kadi ya Simba SC.

Sasa inakuwaje shabiki wa Yanga kupinga uongozi halafu unasibishe na Simba..!!
 
Ni ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza.

Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na team vizuri. Wanashindwa ikosoa tunaona ipo perfect. Kumbe kuna sehemu tunapaswa kujiweka sawa.tuambiwe ukweli tufanye vizuri.

Wenzetu na kile kibetina chao wamekuwa wajeuri hawahangaiki na vyombo vya habari. Wanapondwa wana kebehiwa kila siku ila wao wameamua kucheza mpira.

Wewe unawekeza hadi kwa wachezaji wa team pinzani na mkia wakicheza nao wakaze. Kumbe hatujui tunawakomaza sana Simba. Ni sawa na kumhonga mwalimu atunge mtihani mwepesi kwa mtoto wako na mgumu kwa mwingine. Unamsaidia yule mbaya wako. Na unamwaribu mtoto wako.

Ndo maana utashangaa mkia wanaonekana kufanya vibaya matches za hapa lakini za nje wanafanya vizuri. Hii tabia inatudumaza sisi yanga. Tunapocheza kwenye ligi na teams ambazo zimeshalainishwa tunawapiga nyingi matches za nje zinatupa changamoto sana.

Mimi nimeona niseme potelea pote mkiniita nani sijali. Hii team tunaijua sisi. Haiwezi endelea kwa kuhujumu wengine na kufanya fitna.
Nyie endeleeni kuwaonga hao makanjanja wawasifie kwenye media zao,mnyama yeye anachanja mbuga
 
Jamaa akili kubwa na anaujua mpira kwenye angle tofauti tofauti na ukweli ndo huo.
Kabisa, nimependa paragraph namba (4) kwasababu kuna wakati tulizungumza namna ambavyo inaweza kuadhiri mpira mambo ya kuhonga.

Sijui ilikuwaje akawa Gongowazi (joke)[emoji16]
 
Back
Top Bottom