Heshima kitu cha bure. Rais Samia ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe

Hii makala ni ndeeefu sijawahi kuona.
Sisi huku America tunamtukana Rais Trump Kila saa na hakuna msaka tonge wa aina yako wa kutuambia tumsimtukane.

Halafu we Pascali ujifunze kufupisha makala zako. Unatuchosha
 
Samia ashawajuwa,kule Nungwi wanaitwa watu wa bara ni kuwashikisha tu,siunaona kina Kabudi nk
 
Hii makala ni ndeeefu sijawahi kuona.
Sisi huku America tunamtukana Rais Trump Kila saa na hakuna msaka tonge wa aina yako wa kutuambia tumsimtukane.

Halafu we Pascali ujifunze kufupisha makala zako. Unatuchosha
Ni ndefu kwasababu mimi naandika makala za magazetini
Kila Jumatano nina makala gazeti la Mwananchi, Kila Jumapili nina makala gazeti la Nipashe

P
 
yeye na Mombo yale matusi ya watoto wao kutuonyesha mautajiri

watu kuhoji ndio wakaambuliwa kuuliwa kwa mafungu! halafu anakuja kuwafokea WAZEE wetu we huoni mtu anatafta matusi na yeye!?
 
HOUSE OF BLOOD Meet Africa’s female tyrant ‘Butcher of Tanzania’ who ‘murdered 10,000 of her own people & dumped bodies in mass graves’
Duh, nimeisoma hii kitu, haikubaliki!, Nchi yetu haiwezi kutukanwa kwa kuitwa "House of Blood", Rais Wetu Samia akatukanwa Africa Female Tyrant na kumbatiza jina jipya la "The Butcher of Tanzania", Huku Watanzania Tumenyamaza!.
Hii naiandikia makala!.

P.
 
Boss, Pascal Mayalla,

Heshima hujengwaa kwa uwajibikaji mkubwa through discipline.

Heshima sio Kitu cha kuokota. Heshima is not an inherent entitlement for everyone. It is something that is earned through actions, behavior.

Kuna tofauti kubwa kati ya 'kuabudu' na 'kuheshimu' ingawa hivi viwili vinafana sana.
 
Na uiandikie kaka, nimependa ulivyojibu bro, unataka kutumia nguvu ya hoja na siyo vinginevyo, kama wanavyotuongoza...
 
Boss, Pascal Mayalla,

Heshima hujengwaa kwa uwajibikaji mkubwa through discipline.
Mkuu Rili Komredi K, REAL Comrade Kipepe, naunga mkono hoja ya heshima kujengwa, ila hoja ya msingi ya bandiko hili bado inasimama, kuwa heshima ni kitu cha bure, haiuzwi, hainunuliwi, hailipiwi, inatolewa bure
Heshima sio Kitu cha kuokota. Heshima is not an inherent entitlement for everyone. It is something that is earned through actions, behavior.
I'd like to differ, kwa Tanzania heshima ni kitu cha bure, ambacho ni stahiki provided for kwenye katiba yetu, kuwa Binadamu wote ni sawa. Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.
Kuna tofauti kubwa kati ya 'kuabudu' na 'kuheshimu' ingawa hivi viwili vinafana sana.
Yes nakubaliana na wewe, na hili na hili la kuabudu na kuheshimu pia nimelifundisha sana humu toka enzi za JPM Magufuli ni Rais wetu, asiabudiwe, asiogopwe, bali aheshimiwe

Mpaka awamu hii ya Samia Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!

P
 


P
 

1. Heshima inauzwa kwa gharama kubwa sana, gharama hii ni NIDHAMU. Ni watu pekee wenye nidhamu, wawajibikaji kwa matendo yao na kwa wengine ndio wenye kujiheshimu na kuheshimiwa. The very moment unajikuta unamheshimu mtu nje ya hizo core values, ni wazi hujui nini unafanya, hujitambui na unafanya vitu kwa mazoea na unachofanya sio kuheshimu bali kuabudu bila kutambua.

2. Binadamu wote sio sawa unless utolee maelezo unachiokisema.
Nafikiri umesomea uandishi na ni matarajio yangu you came across huu ujinga "identical twins".
Binadamu wote sio sawa, kwakua we are not one and the same, wea re not identical, but similar. Kuna kitu kinaitwa "problems of identity", ndio shida hapa, either ni lugha ama something else.

Unaposema binaadam wote ni sawa nini unamaanisha, "equal" or "identical"?
 
Heshima na kuheshimiwa ni mutual dependent.

Mtu kama hajiheshimu hawezi kuheshimiwa.

Mtu aliyewaruhusu mafisadi wajilie kwa urefu wa kamba utaanza vipi kumpa heshima?
 
Mwendazake alipendwa na watanzania akapendeka sio huyu Rubbish President aliyejaza mabango barabara yakimpromoti km Soda ya koka kola..
Mkuu Yoso, hilo jina ulilolitumia hapa kwa mtu huyu sio jina la heshima, hayo mabango hakuyaweka yeye, yamewekwa na wafuasi na wapenzi wake tena kwa kujitolea, usimtukane mtu kwa kitu ambacho sio kosa na hata ingekuwa ni kosa kujaza mabango barabarani kama tangazo la Coca-Cola, hayo mabango hakuyaweka kwanini umtukane yeye?.

P
 
RESPECT is not asked, it's EARNED

If you think she deserves it, then she must earn it

You Pascal Mayalla knows and she knows how to earn it

If she doesn't know, then, she deserves whatever DISRESPECT which comes on her ways!
 
Mimi sio chawa na hili sio bandiko la kichawa! ni bandiko la kukumbushana heshima ya kiasili ya Kiafrika ya heshima kitu cha bure, mkubwa kumheshimu mdogo, na mdogo kumheshimu mkubwa, heshima kwa wote.
Ni bora nchi ikaongozwa na drs la saba kuliko hawa ng'ombe wa sasa ...nchi haina kiongozi
Mkuu Egu, Egwugu , sio heshima kuwaita viongozi wako majina ya wanyama kama ng'ombe, mbuzi, kondoo, mbwa, paka, panya, nyumbu, punda, nyani, kima, sokwe, papa, nyangumi etc, yanahesabika ni matukano, ila unaweza kuwaita majina ya wanyama wenye sifa, nzuri, simba, tembo, farasi, twiga, tiger, sungura, zebra, etc.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…