instagramer
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 215
- 497
Yeah man, twende kwa hizo manzi gwaraman...
Yeah man, twende kwa hizo manzi gwaraman...
Mkuu unataka amuombe nani na mimi ndo mzazi wakeBinti wa chuo bado anakuomba hela za matumizi?
Huyo anakuzuga au anajilimbikizia mali.
Una uhakika hakuna anayemwomba mbali na wewe?Mkuu unataka amuombe nani na mimi ndo mzazi wake
Hilo sio jukumu langu mkuu... mbali na yote ni binti mkubwa (22) sio mtoto tenaUna uhakika hakuna anayemwomba mbali na wewe?