HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

Nchini utaondokaje, wakati passport yako pia itahusika kukutambulisha kama mdaiwa?
Hajaelewa, Passport ikiwa scanned tu, inaonyesha mikopo yako, ya Benki na HESLB, kama hujaanza kulipa inawasha taa nyekundu na inaonyesha WANTED!
Unazuiliwa safari na kukabidhiwa kwa askari husika ili ubananishwe vizuri.
 
Vijana hawa wanachukulia kila kitu ni masihara tu, system ikiwa serious kama walivyoainisha kwenye tangazo lao ni dhahiri hakuna yeyote atakayeweza kukwepa tena kulipa hilo deni la HESLB.
 
Vijana hawa wanachukulia kila kitu ni masihara tu, system ikiwa serious kama walivyoainisha kwenye tangazo lao ni dhahiri hakuna yeyote atakayeweza kukwepa tena kulipa hilo deni la HESLB.
System ipo serious na RAZZAQ BADRu anataka kupanda Cheo hata ateuliwe kuwa Balozi na JPM, wanatafuta kila mbinu watu walipe, am telling you hata ndoa kanisani ukienda andikisha utaambiwa utoe statement ya HESLB.
Huwezi funga ndoa bajeti milioni 30 alafu hujaanza lipa hata 100 ya bodi ya mikopo, hiyo ni dharau kwa serikali na wanyonge.
 
Hapa hakuna mahali pa kutokea kwa kweli......na bado ukienda hospital in I utakujaambiwa ukinunua dawa na kulipa matibabu watakata pesa, serikali ikiamua kukunyonyoa kwa kweli ni kiasi cha siku tatu unakuwa kama smigo wa movies za kizungu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eh kwahyo wataweka hadi kwenye NHIF [emoji1544][emoji1544]
 
Back
Top Bottom