HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

Kama nilivyosema awali kama mtu anarenew certificate it is presumed anafanya kazi. Na wao wanataka anaefanya kazi awalipe pesa yao. Kuna mawakili wanalipwa na deni hawalipi. Ukiacha mawakili wachache ambao ndio wanaanza their struggle story iko tofauti kidogo ni anaamua tu kurenew anaamini huenda atapata walau kumuandikia mtu affidavit au submissions apate hela ya mboga.

All in all ulipaji wa mkopo uko kandamizi na sheria haikua shirikishi. Waliamka asubuhi wakatunga sheria na ambayo waliamua pia ita act retrospective na kusahahu kuwa kuna watu waliosaini mkataba wa kulipa 8% ya take home yake.
Na wanasahau kwamba the law does not apply retrospectively unless it is for procedural laws of which I believe sheria ya loan board sio procedural law.
 
Zile fomu za mkopo tulizozisaini tukiwa form 6 zinasema kuwa heslib wanaruhusiwa kubadili chochote ndani ya ule mkopo. Nenda kazisome tena.
Tumevunjilia mbali sheria za madini hizo form zenu wakili wenu alikuwa nani? anaweza kamata mali gani ya Tanzania kama mzungu wa South Africa?
 
Sasa mkuu huoni ukitumia TIN yako watakuotea?
Nina mpango nianze kutumia TIN ya wife.Na miamala yangu yote ya Benki,M-Pesa sijui Tigo pesa nitakuwa natumia accounts za Mrs.

Tatizo wake zetu hawa nao hawaaminiki.Naomba mke wangu asije akageuka mume ndani ya nyumba yetu.

Kiufupi,nitajiondoa kwenye mifumo yote ya kifedha. Mbona kirusi cha Ukimwi kimekuwa na akili ya kukwepa dawa na tafiti zote dhidi yake. Mimi nitashindwa nini kuwakwepa hao 'kenge' wanaoitwa HESLB?
 
Vyeti vya ndoa vinavyo tambuliwa kwa sasa ni vya serekali wata kunasa tu usikate na bima ya Afya
 
Hata wewe Mkuu stroke umeshikwa pabaya? Mi nilidhani bodi inakula sahani moja na wale vijana wasomi wa Chadema tu, nyie hamguswi.Kumbe siyo aisee!
Nawasemea vijana wanaoathirika na hili mkuu au hautaki ??

Basi ngoja nikae kimya maana mkitetewa mnaanza kuwashambulia hata wanaojaribu kuwasemea.
 
Abdul Razaq Mkurugenzi wa Bodi amefafanua kwamba mnufaika ataanza kulipa baada ya miezi 24 [miaka 2 ] kama hana ajira.
Baada ya hapo Deni linakuwa kwa 10% kila mwaka.

Watu ambao hawajaajiriwa kwenye sekta rasmi wanapaswa kurejesha 100,000/= au ASILIMIA KUMI 10% ya pato analolipia kodi kwa mwezi.

Kwa sasa BODI ina wanufaika 14,021 wanaorejesha mikopo yao.
Baada ya marekebisho ya Bodi ya mwaka 2016, ni wazi sasa Bodi itaunganisha mishahara, TIN, Passport na kadi za benki ili wanufaika wote wapate kurejesha kwa wakati.

TLS na JUDICIARY wameshauriwa kuwabana mawakili binafsi ambao wengi ni wanufaika na hawalipi kabisa. Mawakili wakati wa ku-renew PRACTICING CERTIFICATES watapaswa kuambatanisha uthibitisho kwamba wameanza kulipa deni.

Law firms nyingi Dar es salaam zina hela sana lakini hawalipi.
Aisehhhhhhh mbona kama tupo kwenye mitano tu lakini mambo yanonekana ni kama ni tutaishi maisha yetu yote chini ya hii regime [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
yani ningejuaga kuna hiki kisanga haki ya mungu nisingechukuaga hii hela
Wewe si huwa unasema ni Boss na umepewa dereva huko kwenye kitengo chako? Boss gani analialia kurejesha pesa kidogo ya mkopo aliyolipia ada na mahitaji akiwa chuo? Vijana acheni kuishi maisha ya kuigiza humu mitandaoni, ishi maisha yako ya kiuhalisia. Pumbavu.
 
Bodi bora wakate 60%.
Tujue moja tu kuwa tupo jehanamu.

Yaani ukiona waethiopia na waafrika wanakimbia nchi zao ndio ujinga kama huu hata mimi nitakimbia nitatudi botswana.
Maana huwezi kuniwekea deni lisilolipika. Unalipa laki 300k x 12 =3.6mil kwa mwaka.
Ila ukienda kucheki balance mwisho wa mwaka unakuta imeongezeka 4m.

Kwa hio sitalipA tena.
Tutakimbizana nikiona kina wamenibana kila sehemu naondoka nchini.

Chato oyeeee.
Yaani ubaya ubaya tu. Hatuwezi kutiana vidole wazi wazi.
Nchini utaondokaje, wakati passport yako pia itahusika kukutambulisha kama mdaiwa?
 
Nina mpango nianze kutumia TIN ya wife.Na miamala yangu yote ya Benki,M-Pesa sijui Tigo pesa nitakuwa natumia accounts za Mrs.

Tatizo wake zetu hawa nao hawaaminiki.Naomba mke wangu asije akageuka mume ndani ya nyumba yetu.

Kiufupi,nitajiondoa kwenye mifumo yote ya kifedha. Mbona kirusi cha Ukimwi kimekuwa na akili ya kukwepa dawa na tafiti zote dhidi yake. Mimi nitashindwa nini kuwakwepa hao 'kenge' wanaoitwa HESLB?
Ama kweli wewe ni Son of the beach, case closed.
 
Back
Top Bottom