beberu_mzalendo
Senior Member
- Dec 11, 2020
- 129
- 103
Lipeni madeni acheni kelele na visingizio visivyokuwa na tija ili na wadogo zenu wanufaike, sasa mnataka msomeshwe bure halafu msilipe. Ile inaitwa bodi ya mikopo, sio bodi ya kugawa hela bure. Sasa mtu unasomeshwa elimu ya juu bora kabisa harafu unashindwa kurudisha hela inamaana huaelimika chuo ulikuwa unacheza tu.