HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

Lipeni madeni acheni kelele na visingizio visivyokuwa na tija ili na wadogo zenu wanufaike, sasa mnataka msomeshwe bure halafu msilipe. Ile inaitwa bodi ya mikopo, sio bodi ya kugawa hela bure. Sasa mtu unasomeshwa elimu ya juu bora kabisa harafu unashindwa kurudisha hela inamaana huaelimika chuo ulikuwa unacheza tu.
 
Hii ushikiwi viboko mbona, yani ikiingizwa kwenye MPESA tu lazma vilio visikike kila upande wa Nchi. Kwenye kadi za benki huko si watu watakwepa.
😂😂 ndio maana wakasema huruhusiwi kuwa na number 2 kwenye mtandao mmoja ila apo kwenye TN juzi kati nimeenda kununua kitu jamaa akaniuliza kama unadai watakata chao upo salama hudaiwi nikamwambia labda Mungu tu! Wamefika pabaya hawa TRA
 
Hiyo mikopo ingefanywa Kama hisani au zawadi KWA wote walio fika CHUO KIKUU

Na wote wanao daiwa wasamehewe....

Tubuni NJIA nzuri za kimapato hii nchi Ni tajiri Sana.......

Serikali ya Tanzania iki jipanga tutasomesha bure watoto wetu mpk chuo Kikuu.....
Hisani wakati kuna miradi ya chato inabidi ikamilike?
 
😂😂 ndio maana wakasema huruhusiwi kuwa na number 2 kwenye mtandao mmoja ila apo kwenye TN juzi kati nimeenda kununua kitu jamaa akaniuliza kama unadai watakata chao upo salama hudaiwi nikamwambia labda Mungu tu! Wamefika pabaya hawa TRA
Ulienda kununua nini na TIN number mkuu?
 
Sasa Passport inahusiana vipi na mkopo? Alaf mbona wanaolipa ni wachache hivyo kulinganisha na waajiriwa.
Ili upate passport lazima uwasilishe kitambulisho ya Nida,vyeti vya elimu so hapo hapo ndio unashikiwa chini pay the loan and come to apply your passport
 
Lipeni madeni acheni kelele na visingizio visivyokuwa na tija ili na wadogo zenu wanufaike, sasa mnataka msomeshwe bure halafu msilipe. Ile inaitwa bodi ya mikopo, sio bodi ya kugawa hela bure. Sasa mtu unasomeshwa elimu ya juu bora kabisa harafu unashindwa kurudisha hela inamaana huaelimika chuo ulikuwa unacheza tu.
Beberu hudaiwi nini?😂
 
Hahahahha yani nimecheka kikuma man 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😋😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hhhhhhhhhhhhhhh kmmmk walai....eti "Asante kwa kulipa deni lako"
Vuta picha ndio zamu yako kununua umeme Nyumba ya kupanga utawaeleza nini raia, na msimu wa joto Mjini Daslamu.
 
Apo Morocco kwa wale wa Pakistan wanao uza baiskeli za miguu minne wakaniambia kama TRA wana kudai watakata pesa yao na card hutapata adi umalizie deni 🙄
Dah babu hio si noma sana,😂 yani na kadi wanakunyang'anya?
 
Lipeni madeni acheni kelele na visingizio visivyokuwa na tija ili na wadogo zenu wanufaike, sasa mnataka msomeshwe bure halafu msilipe. Ile inaitwa bodi ya mikopo, sio bodi ya kugawa hela bure. Sasa mtu unasomeshwa elimu ya juu bora kabisa harafu unashindwa kurudisha hela inamaana huaelimika chuo ulikuwa unacheza tu.
Hatulipi
 
Uwe na hela uwe hauna hela unatakiwa ulipe hilo deni.
Wanaamini unafanya kazi kama utakua unarenew practicing certificate yako na ndio maana unalazimishwa kulipa.

Ambao wana ajira lakini sio sekta rasmi ndio wanatakiwa kulipa hiyo laki moja. Kama hujapata kazi bado unatakiwa kwenda bodi kuwaambia wasimamishe kukuwekea ile riba ya kutokulipa baada ya miaka miwili mpaka hapo utakapopata kazi.
Sasa kauli ya huyo boss wa loan board iliishia tu kwamba wasiokuwa na ajira rasmi wanapaswa kulipa laki moja Kila mwezi, meaning kila asiyekuwepo kwenye mfumo rasmi wa ajira, mwisho wa mwezi unapeleka laki pale.

Hayo maelezo ya ziada kuwa ambaye hana ajira akaombe kusitishwa riba hayakuwepo katika taarifa ya awali.

Mkopo sio kodi hivyo kumnyima mtu kurenew certificate based na issue ambayo haitokani na mapato ya uwakili ni unyanyasaji tu wa kimfumo na matumizi mabaya ya madaraka kwa wenye hizo nafasi.
 
Back
Top Bottom