Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
- #321
WAnaoteseka ni watoto, mtoto kamaliza chuo, kapata ka ajira kake anakatwa hiyo hela ila angekuwa na akili kama si kufaulisjwa tu ili serikali isifiwe basi angejiongeza na kujua kwamba angeacha mzazi wake amlipie ada ya chuoKwani sasa hivi wanaoumia wazazi au watoto?
Kama mzazi una pesa hata mtoto amalize chuo huwezi kumtegemea.
Tatizo watoto wa masikini tu hapa,ndiyo wanateseka.
Serikali iangalie background ya mdaiwa ndiyo ijue itamkata vipi na siyo wote masikini na matajiri wakatwe sawa.