Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
- #281
Yah walimu walikuwa wa vodafasta na walipewa mkopo 100% .Wanufaika weng walikuwa walimu. Tangu 2015 baada ya ajira zao kusua sua nao wameingia mtini. Patamu hapoy
Sasa wamekosa ajira wameambiwa waanzishe viwanda vya kati, hawalipi deni