HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

Abdul Razaq Badru Mkurugenzi wa Bodi amefafanua kwamba mnufaika ataanza kulipa baada ya miezi 24 [miaka 2 ] kama hana ajira.
Baada ya hapo Deni linakuwa kwa 10% kila mwaka.

Watu ambao hawajaajiriwa kwenye sekta rasmi wanapaswa kurejesha 100,000/= au ASILIMIA KUMI 10% ya pato analolipia kodi kwa mwezi.

Kwa sasa BODI ina wanufaika 14,021 wanaorejesha mikopo yao.

Baada ya marekebisho ya Bodi ya mwaka 2016, ni wazi sasa Bodi itaunganisha mishahara, TIN, Passport na kadi za benki ili wanufaika wote wapate kurejesha kwa wakati.
[Binafsi nashauri Bodi iyatake makanisa yote, watu wanaofunga ndoa pia waangaliwe kama wameanza kulipa deni, mtu anafunga ndoa kwa gharama ya sherehe milioni 50 ila halipi 100 ya Bodi, hii ni dharau kwa Magufuli]

TLS na JUDICIARY wameshauriwa kuwabana mawakili binafsi ambao wengi ni wanufaika na hawalipi kabisa. Mawakili wakati wa ku-renew PRACTICING CERTIFICATES watapaswa kuambatanisha uthibitisho kwamba wameanza kulipa deni.

Law firms nyingi Dar es salaam zina hela sana lakini hawalipi.
Kwa wale wote ambao ni professions , vyama vyao vihakikishe haviwapi leseni mpaka wawe wameanza kulipa deni la BODI, mfano TLS, WAKANDARASI, MADAKTARI, WAHASIBU CPA, MAREFARII, BOXING, TFF
Dharau kwa Maghufuri?!!who the https://jamii.app/JFUserGuide is he?
Huyu anayetumia pesa ya umma kujenga miradi isiyo kipaumbele kwa Taifa zima,
Mambo mengine,yanachekesha,huyu jamaa ni kilaza kweli,ndio maana hata kizungu hakipandi,pamoja na "PHD'yake.
Wakati Mkapa anafanya uamuzi wa kujenga uwanja wa kisasa wa mpira,angeamua kuujenga songwe,au Masasi,au Tunduru,
Huyu mpuuzi,unatumia pesa ya umma,unajenga uwanja Chato,ambako wilaya nzima Haina hata timu ya mpira,
 
Hahahahahaha aah, nimewaza nimejikuta nacheka tu yan badala ya kusikitika. [emoji23][emoji23][emoji23]

Nikiwaza jinsi wanvyofyekaga kahela ka mkopo ukitia vocha tu imagine umepigika una njaa ramani hazisomi umetumiwa kahela tu ka kula, "Asante kwa kulipa deni lako la HESLB" na hapo ulikuwa hujui kama kuna mfumo huo..Sijui utalia [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sanaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwanza natka kujua kuwa wataunganishaje account zangu za benk na Nida na Sim card? Hadi nipeleke namba wazisajili au wataziunganisha tu automatically.

Kiufupi mimi sitakipa deni.
Nadaiwa milioni 90 mke wangi mili 90.

Tulianza kulipa ila kila ukienda kuangalia salio unakuta limeongezeka

Tukaacha kulipa.
Kwa hio sasa hivi vitu vyote tumeviandikisha majina ya watoto.
Ubaya ubaya tu.

Yaani meko amesoma bure ila sisi anatulmua ili akajenge kiwanja cha ndege chato.

Pumbafu sana meko
 
Hahahah wewe na wife wote ni mali ya serikali 😂😂😂
 
Kwanza natka kujua kuwa wataunganishaje account zangu za benk na Nida na Sim card? Hadi nipeleke namba wazisajili au wataziunganisha tu automatically.

Kiufupi mimi sitakipa deni.
Nadaiwa milioni 90 mke wangi mili 90.

Tulianza kulipa ila kila ukienda kuangalia salio unakuta limeongezeka

Tukaacha kulipa.
Kwa hio sasa hivi vitu vyote tumeviandikisha majina ya watoto.
Ubaya ubaya tu.

Yaani meko amesoma bure ila sisi anatulmua ili akajenge kiwanja cha ndege chato.

Pumbafu sana meko

Soon mtajua hamjui
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] TIN ya biashara kwa mwajiri wako hii ndiyo nimemuona kacheza kama hayati Maradona, dadeki yani hapa una kibiashara chako unadaiwa kodi wanafanya ku deduct tu kule

au nasema uongo ndugu zanguni, nawapenda sana
TIN tutatumia za watoto ambao hawana madeni.
Yaani ubaya ubaya tu
 
Back
Top Bottom