HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

Nasema ivi Bora kusomesha kwa cash maana kwa miaka mitatu mwanafunz anaweza kutoboa kwa 10m zikiwemo gharama zote kuliko hao jamaa.

Watu wanafurahia mikopo wawapo chuo na kujiona wao ndio wao yaan dunia Ni yao .

Kipind nasoma nilikosa loan washkaj wakawa wanajiona wao ndio kila kitu baada ya kupata loan ,namshukuru Sana kaka angu alisimama na mimi na kuhakikisha nasoma bila kikwazo had namaliza chuo kwa pesa niliotumia haizid 9m.

Kiama kipo baada ya kupata ajira ,wale wa boom saiz wanasaga meno ,mm nachukua kamshahara kangu jinsi kalivyo Zaid nakatwa paye ,bima na chama Cha kazi nilichojiunga nacho.

Tatizo Ni umaskin tu ,Ni heri mtoto ukamlipia ada maana kwa mwaka kwa vyuo vingi Ni 1.2au 1.3 zidisha mara tatu hapo ,alaf kinachokula matumiz mengi chuo Ni kod ya pango ,na stationary ,chakula sio shida atajibana na kupika vzr tu .
Hivyo nasema 9m unasomesha kijana wako vzr tu kuliko kumbebesha deni la mamilion ya pesa ambayo atalipa had ana staff
Inategemea na kozi mkuu....kozi zingine ada hadi 4m kwa mwaka
 
Sasa mfano mtu hajaajiriwa hiyo laki moja anatoa wapi?? Hiki kiwango sidhani kama kinalipika kwa mtu ambaye hana ajira, mfano kuna mtu baada ya kuhitimu kakaa more than 3 years hana ajira atalipaje??

Na jambo jingine hapa naona kama vile mawakili wamekuwa victimized tu sio kweli kwamba kila wakili anapesa, kuwadai loan board payments wakati wa kurenew certificates huo ni ukandamizaji uliopitiliza.

Wakati mwingine tusitumie mamlaka yetu kuonea wengine simply because we are in better positions than them.
Raha ya magufuli ndio hii lazima upate chungu yake ata ukiwa mtoto wake ukiweza kumkwepa ata matone ya mvua utaweza kuyakwepa
 
Nina mpango nianze kutumia TIN ya wife.Na miamala yangu yote ya Benki,M-Pesa sijui Tigo pesa nitakuwa natumia accounts za Mrs.

Tatizo wake zetu hawa nao hawaaminiki.Naomba mke wangu asije akageuka mume ndani ya nyumba yetu.

Kiufupi,nitajiondoa kwenye mifumo yote ya kifedha. Mbona kirusi cha Ukimwi kimekuwa na akili ya kukwepa dawa na tafiti zote dhidi yake. Mimi nitashindwa nini kuwakwepa hao 'kenge' wanaoitwa HESLB?
Siku akikugeuka utaipata fresh,haina haja ya kukimbia lipa tu taratibu litaisha.Mimi nalipa laki 1 Kila mwezi na zimebaki milion 4,hivyo siishi Kwa wasiwasi na mikwara Yao.Ila Kwa mfumo waliouweka now hata ukimiliki nyumba 20 watajua tu hasa Kwa watumishi WA umma wanaofisadi unless uandikishe majina ya mke ili baadae akubadilikie upate kiharusi.
 
NIDA bado ipo? Kama bado ipo wanafanya shughuli gani?
Ni rahisi kupata passport kuliko kupata namba ya NIDA.
 
hata marekani na uchumi wote ule hakuna anaesoma bure chuo kikuu, sema hii bodi ilikua inatoa mikopo kiholela sana enzi hizo bila kujua itarudi vp, wanakumbuka shuka asubuhi
Acha upumbavu wewe , hebu nenda. Sweden , Denmark , Norway na Finland uone , Kule elimu ni bure sasa Sisi humu tunashindwa nini ? , As the matter of fact hizi ni Kodi za wananchi sio pesa za serikali ,
 
Acha upumbavu wewe , hebu nenda. Sweden , Denmark , Norway na Finland uone , Kule elimu ni bure sasa Sisi humu tunashindwa nini ? , As the matter of fact hizi ni Kodi za wananchi sio pesa za serikali ,
ni kila nchi na falsafa zake 🤣 🤣 🤣 , tunakula kutokana na urefu wa kamba zetu, hatukatai ni kodi wanachi lakini haimaanishi tupewe bure, basi kia kitu kiwe bure maana tunalipa kodi! au nasema uongo?
 
Yaani hapa bora kusomesha mwana tu.Kama una uwezo hakuna kumpa mtoto deni la kijinga.
Nilisomesha kijana wangu chuo cha mipango Dodoma (Diploma) then digrii UDOM kwa miaka 3. Kapata kazi kwenye Ka NGO flani maisha yanaenda, kwa kweli nikiangalia adha ya makato from hiyo body ya mikopo najisikia furaha sana pamoja na kwamba nilisota kweli kipindi cha hayo malipo kwani nilikuwa na wengine wawili wako sekondari.
 
Back
Top Bottom