HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

Kwani sasa hivi wanaoumia wazazi au watoto?
Kama mzazi una pesa hata mtoto amalize chuo huwezi kumtegemea.

Tatizo watoto wa masikini tu hapa,ndiyo wanateseka.

Serikali iangalie background ya mdaiwa ndiyo ijue itamkata vipi na siyo wote masikini na matajiri wakatwe sawa.
WAnaoteseka ni watoto, mtoto kamaliza chuo, kapata ka ajira kake anakatwa hiyo hela ila angekuwa na akili kama si kufaulisjwa tu ili serikali isifiwe basi angejiongeza na kujua kwamba angeacha mzazi wake amlipie ada ya chuo
 
Watu wanaamka asubuhi, wanakutana na umande. Ww upo ndani umelala huku umejifunika shuka. Watu wanapata mkopo, wananunua subwoofer, ww roho inakuuma sana.
Hatulipi hata mia. Aliyefuta ajira 2015 ndiyo atalipa deni. Nipo nafuga nguruwe wangu huku kijijini na maisha yanakwenda.
Acheni kulialia lipeni pesa za Umma..

Mlikuwa mnaona raha sana pesa zikiingia mnanunua masabufa na kwenda kushinda bar
 
Watu wanaamka asubuhi, wanakutana na umande. Ww upo ndani umelala huku umejifunika shuka. Watu wanapata mkopo, wananunua subwoofer, ww roho inakuuma sana.
Hatulipi hata mia. Aliyefuta ajira 2015 ndiyo atalipa deni. Nipo nafuga nguruwe wangu huku kijijini na maisha yanakwenda.
Utalipa tu bwana mdogo...

La sivyo tutataifisha hizo nguruwe..
 
Watu wanaamka asubuhi, wanakutana na umande. Ww upo ndani umelala huku umejifunika shuka. Watu wanapata mkopo, wananunua subwoofer, ww roho inakuuma sana.
Hatulipi hata mia. Aliyefuta ajira 2015 ndiyo atalipa deni. Nipo nafuga nguruwe wangu huku kijijini na maisha yanakwenda.
Roho lazma imuuume mtu yeyote anayelipa kodi, hiyo hela serikali haiitoi mawinguni, inatoka kwenye kodi zetu ndiyo maana lazma iwaume walipa kodi wote.
 
Hayo ni matumizi binafsi ya mtu. Umenikopesha pesa halafu unanipangia cha kununua. Sitakulipa hata 100
Inamuuma kwa jambo dogo km hilo. Sabwoofer zenyewe zinauzwa 70,000.
Kodi zingetumiwa kwa usahihi, hii nchi ingekuwa tajiri. Mbona hazungumzi fedha zinatolewa kuwanunua wapinzani? Ukifuatilia suala la matumizi ya fedha ya kodi lazima upate ukichaa.
Roho lazma imuuume mtu yeyote anayelipa kodi, hiyo hela serikali haiitoi mawinguni, inatoka kwenye kodi zetu ndiyo maana lazma iwaume walipa kodi wote.
 
Serikali yenyewe inadaiwa na bado haijamaliza kulipa deni, nitakuwa mimi?
Jana nimelala na njaa, leo nimeamkia kupiga debe angalau nipate 2000 ya kula. Waliofuta ajira ndiyo watalipa hilo deni
Hakuna namna , lazima tulipe tu
 
Serikali yenyewe inadaiwa na bado haijamaliza kulipa deni, nitakuwa mimi?
Jana nimelala na njaa, l
wakati unakopa ulisaini mkataba kwamba miaka 2 ikipita utaanza kulipa, sasa unakengeuka.
Kwani uliandikishiana na serikali kwamba mpaka upate ajira ndio utaanza kulipa?
 
8765432.jpg
 
Uzuri deni halifungi. Sijaajiriwa na sitegemei kuajiriwa mpaka sasa deni langu najua riba imeshafika 70%.
utatafutwa hata chini ya uvungu.
Kama Polisi traffic wameanza kuyafuata magari kwenye parking na kutoa /bandua plate numbers sijui wewe utajificha wapi, kumbuka huu mfumo unakaribia kuanza, maana fedha za kujenga stigla zinatafutwa kwa nfuvu zote
 
Acc ya ya bank kesho naenda kutoa kila kitu alafu nafubgua acc ya mtoto wangu.
kufungua account ya mtoto watataka NIDA YA WAZAZI na namba za mitihani za chuo, ukidanganya ni kosa la jinai, subirini tutanyooka tu, ila tulipeni madeni na wengine wasome.
 
Pia tukumbuke kuwa Deni Lina increase in a compound interest mean that utapgwa 10 percent of the current dept and not the initial dept balance wachumi mtanisahihisha hapo...mammaer🤕🤕🤕🚑🚑
 
Back
Top Bottom