Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
-
- #321
WAnaoteseka ni watoto, mtoto kamaliza chuo, kapata ka ajira kake anakatwa hiyo hela ila angekuwa na akili kama si kufaulisjwa tu ili serikali isifiwe basi angejiongeza na kujua kwamba angeacha mzazi wake amlipie ada ya chuoKwani sasa hivi wanaoumia wazazi au watoto?
Kama mzazi una pesa hata mtoto amalize chuo huwezi kumtegemea.
Tatizo watoto wa masikini tu hapa,ndiyo wanateseka.
Serikali iangalie background ya mdaiwa ndiyo ijue itamkata vipi na siyo wote masikini na matajiri wakatwe sawa.
Acheni kulialia lipeni pesa za Umma..
Mlikuwa mnaona raha sana pesa zikiingia mnanunua masabufa na kwenda kushinda bar
Utalipa tu bwana mdogo...Watu wanaamka asubuhi, wanakutana na umande. Ww upo ndani umelala huku umejifunika shuka. Watu wanapata mkopo, wananunua subwoofer, ww roho inakuuma sana.
Hatulipi hata mia. Aliyefuta ajira 2015 ndiyo atalipa deni. Nipo nafuga nguruwe wangu huku kijijini na maisha yanakwenda.
Roho lazma imuuume mtu yeyote anayelipa kodi, hiyo hela serikali haiitoi mawinguni, inatoka kwenye kodi zetu ndiyo maana lazma iwaume walipa kodi wote.Watu wanaamka asubuhi, wanakutana na umande. Ww upo ndani umelala huku umejifunika shuka. Watu wanapata mkopo, wananunua subwoofer, ww roho inakuuma sana.
Hatulipi hata mia. Aliyefuta ajira 2015 ndiyo atalipa deni. Nipo nafuga nguruwe wangu huku kijijini na maisha yanakwenda.
Hakuna namna , lazima tulipe tuUtalipa tu bwana mdogo...
La sivyo tutataifisha hizo nguruwe..
Roho lazma imuuume mtu yeyote anayelipa kodi, hiyo hela serikali haiitoi mawinguni, inatoka kwenye kodi zetu ndiyo maana lazma iwaume walipa kodi wote.
Hakuna namna , lazima tulipe tu
wakati unakopa ulisaini mkataba kwamba miaka 2 ikipita utaanza kulipa, sasa unakengeuka.Serikali yenyewe inadaiwa na bado haijamaliza kulipa deni, nitakuwa mimi?
Jana nimelala na njaa, l
wakati unakopa ulisaini mkataba kwamba miaka 2 ikipita utaanza kulipa, sasa unakengeuka.
Kwani uliandikishiana na serikali kwamba mpaka upate ajira ndio utaanza kulipa?
utatafutwa hata chini ya uvungu.Uzuri deni halifungi. Sijaajiriwa na sitegemei kuajiriwa mpaka sasa deni langu najua riba imeshafika 70%.
kufungua account ya mtoto watataka NIDA YA WAZAZI na namba za mitihani za chuo, ukidanganya ni kosa la jinai, subirini tutanyooka tu, ila tulipeni madeni na wengine wasome.Acc ya ya bank kesho naenda kutoa kila kitu alafu nafubgua acc ya mtoto wangu.
Nazaidi mkuu ukumbuke baada ya miaka mitat unakuwa unadaiwa 110%ya ulipokea,then 10 % ya 110%. Yaani Lina increase in a compound interest mammaekwa hyo ina maana ndani ya miaka 10 deni linakua mara 2?
option ni 3 tu, ulipe, ufe au uhame nchi 🤣 🤣 🤣 🤣Nazaidi mkuu ukumbuke baada ya miaka mitat unakuwa unadaiwa 110%ya ulipokea,then 10 % ya 110%. Yaani Lina increase in a compound interest mammae
Akaunti ya mtoto lazima itakua chini ya usimamizi wako so lazima taarifa zako zitakuwepoAcc ya ya bank kesho naenda kutoa kila kitu alafu nafubgua acc ya mtoto wangu.
dah , SAMIA kabadilisha fumo.Abdul Razak tuligoma naye UDSM 1994 hadi chuo kikafungwa.Tuligomea hii mikopo wakati huo ikiitwa "cost sharing".Tuliiona mapema kwamba italeta taharuki baadae....