HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

Leo umenena vema!
 
Hatari unanunua umeme wa elfu 5000/= unapokea sms ya HELSB asante Kwa kulipa deni lako.
Hahahahha yani nimecheka kikuma man πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‹πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hhhhhhhhhhhhhhh kmmmk walai....eti "Asante kwa kulipa deni lako"
 
Awe kama mimi mkuu nina ka kiosk kangu ni mwendo wa kitambulisho cha mjasiriamali, sijui watanipatia wapi hawa hslb, na kesho naenda kufungua acc ya kakijana kangu kachanga nahamishia kampunga kangu kote kalikopo kwenye acc yangu hko.
 
Wadau ni kujiandaa tu kisaikolojia. Asante kwa kulipa deni lako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo chuma ya "New Force" inakuacha bila huruma. Wauza ticket bana huku naona Ticket imetoka risit ya shukrani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚anajitahidi sana kuweka akili za wale wa ndioooo zikae sawa
 
Apo lazima akili zikae sawa tu wafanye kila linalo wezekana kila mtu alipe anacho daiwa ata kwa viboko πŸ˜‚
Hii ushikiwi viboko mbona, yani ikiingizwa kwenye MPESA tu lazma vilio visikike kila upande wa Nchi. Kwenye kadi za benki huko si watu watakwepa.
 
hata hivyo wamechelewa sana mimi mwenyewe ni mdaiwa tuwaunge mkono kwenye hili jamani, kweli huko vyuoni watu wanateseka sana, ifikie hatua kila anaeyeomba mkopo apate, turejeshe tulichokopeshwa!
Ni kweli,inafikia mtu anasema bora nisingechukua mkopo,lakini unasahau kuwa hiyo elimu ulionayo usingeipata bila huo mkopo,dawa ya deni ni kulipa ili wengine nao wasomeshwe,tuache kukufuru na hata hivyo lengo la mkopo ni kwa wale wasioweza kujilipia wewe kama unaweza jilipie tu...
 
Awe kama mimi mkuu nina ka kiosk kangu ni mwendo wa kitambulisho cha mjasiriamali, sijui watanipatia wapi hawa hslb, na kesho naenda kufungua acc ya kakijana kangu kachanga nahamishia kampunga kangu kote kalikopo kwenye acc yangu hko.
Na mimi nitafanya hivi hivi.
Yaani ubaya ubaya tu.
 
Wewe ulikopa?
 
Ndio tunakokwenda msg za asante kwa kuwa mzalendo kwa maelezo zaidi muone anaye kudai (TRA) (HESLB)........ πŸ˜‚
 
Hahahahahah kmmmk, kila nikiwaza hio scenario naishia kucheka tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
Yani wanafyeka laki nzima πŸ˜‚
 
Hii ushikiwi viboko mbona, yani ikiingizwa kwenye MPESA tu lazma vilio visikike kila upande wa Nchi. Kwenye kadi za benki huko si watu watakwepa.
Nani atapeleka pesa benk?
Tutahama nchi kama waethiopia mandege kibao Na uchumi n 8% ila watu wanahama nchi yao
 
Uwe na hela uwe hauna hela unatakiwa ulipe hilo deni.
Wanaamini unafanya kazi kama utakua unarenew practicing certificate yako na ndio maana unalazimishwa kulipa.

Ambao wana ajira lakini sio sekta rasmi ndio wanatakiwa kulipa hiyo laki moja. Kama hujapata kazi bado unatakiwa kwenda bodi kuwaambia wasimamishe kukuwekea ile riba ya kutokulipa baada ya miaka miwili mpaka hapo utakapopata kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…