Magazine Fire
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,365
- 1,473
Leo umenena vema!Sasa mfano mtu hajaajiriwa hiyo laki moja anatoa wapi?? Hiki kiwango sidhani kama kinalipika kwa mtu ambaye hana ajira, mfano kuna mtu baada ya kuhitimu kakaa more than 3 years hana ajira atalipaje??
Na jambo jingine hapa naona kama vile mawakili wamekuwa victimized tu sio kweli kwamba kila wakili anapesa, kuwadai loan board payments wakati wa kurenew certificates huo ni ukandamizaji uliopitiliza.
Wakati mwingine tusitumie mamlaka yetu kuonea wengine simply because we are in better positions than them.