HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

Lipeni madeni acheni kelele na visingizio visivyokuwa na tija ili na wadogo zenu wanufaike, sasa mnataka msomeshwe bure halafu msilipe. Ile inaitwa bodi ya mikopo, sio bodi ya kugawa hela bure. Sasa mtu unasomeshwa elimu ya juu bora kabisa harafu unashindwa kurudisha hela inamaana huaelimika chuo ulikuwa unacheza tu.
 
Hii ushikiwi viboko mbona, yani ikiingizwa kwenye MPESA tu lazma vilio visikike kila upande wa Nchi. Kwenye kadi za benki huko si watu watakwepa.
πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio maana wakasema huruhusiwi kuwa na number 2 kwenye mtandao mmoja ila apo kwenye TN juzi kati nimeenda kununua kitu jamaa akaniuliza kama unadai watakata chao upo salama hudaiwi nikamwambia labda Mungu tu! Wamefika pabaya hawa TRA
 
Hisani wakati kuna miradi ya chato inabidi ikamilike?
 
Ulienda kununua nini na TIN number mkuu?
 
Sasa Passport inahusiana vipi na mkopo? Alaf mbona wanaolipa ni wachache hivyo kulinganisha na waajiriwa.
Ili upate passport lazima uwasilishe kitambulisho ya Nida,vyeti vya elimu so hapo hapo ndio unashikiwa chini pay the loan and come to apply your passport
 
Beberu hudaiwi nini?πŸ˜‚
 
Vuta picha ndio zamu yako kununua umeme Nyumba ya kupanga utawaeleza nini raia, na msimu wa joto Mjini Daslamu.
 
Ulienda kununua nini na TIN number mkuu?
Apo Morocco kwa wale wa Pakistan wanao uza baiskeli za miguu minne wakaniambia kama TRA wana kudai watakata pesa yao na card hutapata adi umalizie deni πŸ™„
 
Apo Morocco kwa wale wa Pakistan wanao uza baiskeli za miguu minne wakaniambia kama TRA wana kudai watakata pesa yao na card hutapata adi umalizie deni πŸ™„
Dah babu hio si noma sana,πŸ˜‚ yani na kadi wanakunyang'anya?
 
Hatulipi
 
Sasa kauli ya huyo boss wa loan board iliishia tu kwamba wasiokuwa na ajira rasmi wanapaswa kulipa laki moja Kila mwezi, meaning kila asiyekuwepo kwenye mfumo rasmi wa ajira, mwisho wa mwezi unapeleka laki pale.

Hayo maelezo ya ziada kuwa ambaye hana ajira akaombe kusitishwa riba hayakuwepo katika taarifa ya awali.

Mkopo sio kodi hivyo kumnyima mtu kurenew certificate based na issue ambayo haitokani na mapato ya uwakili ni unyanyasaji tu wa kimfumo na matumizi mabaya ya madaraka kwa wenye hizo nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…