HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

Na wanasahau kwamba the law does not apply retrospectively unless it is for procedural laws of which I believe sheria ya loan board sio procedural law.
 
Zile fomu za mkopo tulizozisaini tukiwa form 6 zinasema kuwa heslib wanaruhusiwa kubadili chochote ndani ya ule mkopo. Nenda kazisome tena.
Tumevunjilia mbali sheria za madini hizo form zenu wakili wenu alikuwa nani? anaweza kamata mali gani ya Tanzania kama mzungu wa South Africa?
 
Sasa mkuu huoni ukitumia TIN yako watakuotea?
Nina mpango nianze kutumia TIN ya wife.Na miamala yangu yote ya Benki,M-Pesa sijui Tigo pesa nitakuwa natumia accounts za Mrs.

Tatizo wake zetu hawa nao hawaaminiki.Naomba mke wangu asije akageuka mume ndani ya nyumba yetu.

Kiufupi,nitajiondoa kwenye mifumo yote ya kifedha. Mbona kirusi cha Ukimwi kimekuwa na akili ya kukwepa dawa na tafiti zote dhidi yake. Mimi nitashindwa nini kuwakwepa hao 'kenge' wanaoitwa HESLB?
 
Vyeti vya ndoa vinavyo tambuliwa kwa sasa ni vya serekali wata kunasa tu usikate na bima ya Afya
 
Hata wewe Mkuu stroke umeshikwa pabaya? Mi nilidhani bodi inakula sahani moja na wale vijana wasomi wa Chadema tu, nyie hamguswi.Kumbe siyo aisee!
Nawasemea vijana wanaoathirika na hili mkuu au hautaki ??

Basi ngoja nikae kimya maana mkitetewa mnaanza kuwashambulia hata wanaojaribu kuwasemea.
 
Aisehhhhhhh mbona kama tupo kwenye mitano tu lakini mambo yanonekana ni kama ni tutaishi maisha yetu yote chini ya hii regime [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
yani ningejuaga kuna hiki kisanga haki ya mungu nisingechukuaga hii hela
Wewe si huwa unasema ni Boss na umepewa dereva huko kwenye kitengo chako? Boss gani analialia kurejesha pesa kidogo ya mkopo aliyolipia ada na mahitaji akiwa chuo? Vijana acheni kuishi maisha ya kuigiza humu mitandaoni, ishi maisha yako ya kiuhalisia. Pumbavu.
 
Nchini utaondokaje, wakati passport yako pia itahusika kukutambulisha kama mdaiwa?
 
Ama kweli wewe ni Son of the beach, case closed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…