HESLB naomba mwenye uelewa na hii changamoto

HESLB naomba mwenye uelewa na hii changamoto

Wangwambo

Member
Joined
May 22, 2020
Posts
20
Reaction score
14
Nimeanza hatua za awali za maombi ya mkopo na nimepata control number na kufanya malipo lakini hadi sasa sijaweza kuendelea na hatua zinazofuata, kila nikijaribu ku relod inagoma.

Screenshot_20220810-175643~2.png
 
Kama imeanza Jana system inayimba.endelea kureload.me naomba Leo nzima inaaandika
Screenshot_20220811_185047.jpg
inaonesha seva ipo down
 
Back
Top Bottom