HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

Wakuu last year kuna watu akaunti zao zilibadilika kuwa SIPA na hawakupangiwa chochote mwaka huu wameomba tena so account yako ikibadilika bila kuona allocation endeleza maombi tu Mungu atabless
waliwekewa allocation afu zikafutika ama allocatiom hawakuwekewa
 
πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏKWA FRESHERS ( FIRST YEAR) NA CONTINUOS........, WA VYUO VYA ELIMU YA JUU HAPA KILIMANJARO-MOSHI
πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏKARIBUNI......,MJIPATIE ......,VYUMBA VILIVYO......,.KARIBU NA VYUO VYA #MOCU,#KCMC,#MWENGE,#MWEKA
πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏWASILIANA ........NAMI...
..
.....
..
..0672701329...........
 
Sasa kama hajapata..
Mbona wanamuita beneficiary tayari?
Mnatuchanganya mjue wakuu
Hilo sijui mkuu ila nishawaona watu wa aina hiyo mwaka jana na miongoni mwao ni watu wangu wa karibu kabisa akaunti ilibadilika but nothing
 
Ila hii bodi ya mikopo ni wapumbavu sana! Hivi wameshindwa nini kuwapa wanafunzi wote japo kidogo kidogo? Let say angalau hata 2m kila mwanafunzi badala ya hivi vigezo vyao vya kijinga? Sasa mtu ada 5m unampa laki 2 inamfaa nini hiyo?
Wewe ndo mpumbavu huwezi kutoa Mkopo pasipo kutumia vigezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…