HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

Kwaivo mwanafunzi akiwa hatapata mkopo wanaandika au anaendelea kusubiri hewa?
Inabaki ivo ivoo ukishapangia hayo maneno ya no approved allocation yanatoka na kama hutapata yanabaki ivo ivo siku zotee ...we kama ni continue na umeomba mkopo kupata uhakika subr batch ya continue ipooo special nasema coz na evidence asilimia 10000
 
Hapo penye kwemdelea kusubiri No approved allocation..ukidhani itabadirika ndio mtihani..mzazi aanzage kujiongeza tu....tatizo wanachukulia aliyesima private basi alikuwa na uwezo kumbe madeni hadi basi..au kwasasa mzazi husika uchumi hauko vema..yani kama mtu haiwezekani kupata walitakiwa kuonyesha REJECT mapema kabisa ajipange..sio kila siku anafatilia SIPA
 
VIP kwa AMBAO wapepangiwa kiasi kidogo kwa Ada Ada ya Chuo kwa MWAKA Ni millioni 7+ ila kapangiwa Ada ya mkopo 400000 itakuwaje ama ataongeewa lakin appeal inagoma kufunguka
Kampala hio 😂
 
Mimi kila nikijaribu kuingia kwenye account ni kama inanitoa..., nazunguka tu hapo hapo, kila mara inaniridisha kwenye login page
Vipi ilifanikiwa kuingia? Maana hiyo ndiyo hali ninayokumbana nayo na mimi
Mimi kila nikijaribu kuingia kwenye account ni kama inanitoa..., nazunguka tu hapo hapo, kila mara inaniridisha kwenye login page
Ukifanikiwa nitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…