HESLB: Yatoa mikopo 100% kwa wanafunzi 872 zao la TASAF regardless masomo waliohitimia|ashukuriwe Rais Samia kwa hii sera inayoinua watoto wa masikini

Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais wa kweli basi ni sasa, Mungu tujalie heri kuelekea 2025|30
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
ombea uRais badala ya Magufuli mwaka 2015 basi Tanzania tungekuwa tumeipita Kenya kwa GNP na sasa tunakimbizana na Ethiopia na Morocco kwenye top 10 ya Africa.

Ile miradi ya NHC ya Kawe na Morocco, miradi ya NSSF ya Dege Eco Village, Bandari ya Bagamoyo na Gesi ya Mtwara zingekuwa zimetiki sana. Maana alipoishia Kikwette ndipo Samia angeanzia.

Lakini likikuja popoma la chemistry likajifanya linajuwa kila kitu likakimbilia kukata miti ya Selous Game reserve ili lipate Megawati 2100 za umeme. Likasimamisha miradi yote aliyoanzisha JK.
 
Miradi hiyo yote wizi mtupu haina manufaa kwa sehemu kubwa ya jamii ya Tanzania...miradi mingi ya NHC na NSSF ni white elephant na fedha zimeshaliwa...kabla ya kujua thamani ya miradi hii fake wasaidie wale walojenga jengo refu kuliko yote dsm kwa fedha ya watumishi maeneo ya karibu na TCRA kupata wapangaji
 
Wanafunzi wengi wasio na uwezo wamekosa mikopo zaidi ya kuambulia 200,000/= mkopo wa tuition fee..huo ndio ukweli ni heri kukaa kimya
 
Rais Samia kwenye ubora wake wa kusimamia serikali. Huyu apitishwe bila kupingwa 2025.
 
Miaka mingi tu wanufaika wa TASAF wanapata 100%
TTumuombe sasa ikimpendeza atoe 100% kwa wanufaika wote ILI uwanja kusoma uwe sawa,sababu hii mikopo ni ya mnufaika mwenyewe na itarejeshwa na mnufaika mwenyewe, zingatia wengine walisomeshwa na wajomba/wafadhili ambao hawako tayari kufadhili ngazi ya vyuo vikuu,na au hawana fedha kwa sasa. ,mf mzazi alikuwa mtumishi akastaafu au kufariki,mfanya biashara akafilisika au kufariki. Kusiwe na ubaguzi ,maisha ya wanachuo wengi wasio na mikopo ni magumu.
 
Myopic thinking
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Asante Mama,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…