Ze Bulldozer
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 1,070
- 568
Tanzania voted 2021 Africa leading travel destination ahead of South Africa, Nigeria, Rwanda and Egypt
Read the latest news across entertainment, sports, business and more
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miradi hiyo yote wizi mtupu haina manufaa kwa sehemu kubwa ya jamii ya Tanzania...miradi mingi ya NHC na NSSF ni white elephant na fedha zimeshaliwa...kabla ya kujua thamani ya miradi hii fake wasaidie wale walojenga jengo refu kuliko yote dsm kwa fedha ya watumishi maeneo ya karibu na TCRA kupata wapangajiombea uRais badala ya Magufuli mwaka 2015 basi Tanzania tungekuwa tumeipita Kenya kwa GNP na sasa tunakimbizana na Ethiopia na Morocco kwenye top 10 ya Africa.
Ile miradi ya NHC ya Kawe na Morocco, miradi ya NSSF ya Dege Eco Village, Bandari ya Bagamoyo na Gesi ya Mtwara zingekuwa zimetiki sana. Maana alipoishia Kikwette ndipo Samia angeanzia.
Lakini likikuja popoma la chemistry likajifanya linajuwa kila kitu likakimbilia kukata miti ya Selous Game reserve ili lipate Megawati 2100 za umeme. Likasimamisha miradi yote aliyoanzisha JK.
TTumuombe sasa ikimpendeza atoe 100% kwa wanufaika wote ILI uwanja kusoma uwe sawa,sababu hii mikopo ni ya mnufaika mwenyewe na itarejeshwa na mnufaika mwenyewe, zingatia wengine walisomeshwa na wajomba/wafadhili ambao hawako tayari kufadhili ngazi ya vyuo vikuu,na au hawana fedha kwa sasa. ,mf mzazi alikuwa mtumishi akastaafu au kufariki,mfanya biashara akafilisika au kufariki. Kusiwe na ubaguzi ,maisha ya wanachuo wengi wasio na mikopo ni magumu.Miaka mingi tu wanufaika wa TASAF wanapata 100%
Myopic thinkingMiradi hiyo yote wizi mtupu haina manufaa kwa sehemu kubwa ya jamii ya Tanzania...miradi mingi ya NHC na NSSF ni white elephant na fedha zimeshaliwa...kabla ya kujua thamani ya miradi hii fake wasaidie wale walojenga jengo refu kuliko yote dsm kwa fedha ya watumishi maeneo ya karibu na TCRA kupata wapangaji
Asante Mama,Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Sera ya bodi ya mikopo ya Elimu ya juu ( HESLB ) dhidi ya wanaopewa mkopo 100% ni wale tu wanachukua masomo ya Sayansi kama Udaktari,
Wale wanaochukua masomo yasiyo ya Sayansi hupewa mkopo chini 100%
Mambo ni tofauti kwa awamu ya Sita chini ya Rais ya Samia Suluhu Hassan ameagiza watoto wote waliotoka nyumba zinazohudumiwa na TASAF wapewe mkopo 100% hata kama wanakwenda kusoma masomo yasiyo ya Sayansi.
Namkopo huo wa 100% wapewe kabla hawajafika chuoni, that's Mama.
👇🏿
👇🏿
![]()
HESLB 872 Students To Get 100 Percent Of Loan
The Higher Education Student Loans Board (HESLB) has announced a list of 872 students who will receive 100 percent loans regardless of the subjects they havewww.uniforumtz.com
______________________________
The Higher Education Student Loans Board (HESLB) has announced a list of 872 students who will receive 100 percent loans regardless of the subjects they have been selected to join.
That number is for applicants who are certified to be from poor households that are serviced by the Community Development Fund (Tasaf).
The statement was issued on Wednesday, September 15, 2021 by the board’s executive director, Abdul-Razaq Badru during the signing of a loan agreement for applicants from poor households.
TASAF HESLB: 782 Students To Get 100 percent of Loan
Badru said the students will receive loans before starting classes to reduce inconvenience. He said the program is sustainable and they have already put in place a system to monitor them from primary schools to form six.
“We have developed a joint system with our colleagues in the Ministry of Education and Tasaf, we will be identifying students early so their application will have its priority,” said Badru. You can read also below
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA View attachment 1942133