Hezbollah ilisubiriwa kuingia kwenye vita, kiongozi wao kabwatuka mikwara kisha kaenda kulala zake

Wale ni wayahudi kijana sio wakristo.. Kingine maeneo yatachukuliwa huvyo hivyo...
 
Hamas walivyopiga israel ulifanya nn? Magaidi bwana. Ukifuga gaidi mm siwezi kukutetea kwa maana unafuga mtu anaeua wasio na hatia. Magaidi yakiuliwa ni jambo jema kwa usalama wa taifa husika na dunia kwa ujumla. Katika maandiko kuna vita mbali mbali lakini vita vile vilipiganiwa kwenye maeneo rasmi au vingine ndio hawa magaidi wa jihad kuua watu wasio na hatia. Alafu mje mtake huruma na kulialia free free panyestina ya konyo. Ukiwa gaidi hakuna namna utaliwa kichwa tu. Kuna kosa lolote hapo nimefanya. Mkuu fanya mishe zako kubishana na mimi utakesha na unajisumbua tu
 
Kwa akili yako unadhani israel ni mabumunda kuwa kila hatua wata expose mambo yao..? Akili muhimu upo vitani unatoa njia zako..? Hiyo al jaazera ni ya nyie nyie magaidi inachagua vya kupost ili kuitetea hamas na magaidi kuwa yanaonelewa au yanajitahidi. 😆😆😆😆 tulia usilie lie moto ukuingie vzr
 
Wale ni wayahudi kijana sio wakristo.. Kingine maeneo yatachukuliwa huvyo hivyo...
Kwani ukristo na uyahudi ni tofauti hao wanamini Yesu ni Mungu na Myahudi anamgojea Dijal the deceiving Messia ndio mungu wao 😄
 
Kwani ukristo na uyahudi ni tofauti hao wanamini Yesu ni Mungu na Myahudi anamgojea Dijal the deceiving Messia ndio mungu wao 😄
WACHA tuione Gaza ikiwa chini ya Wayahudi!
 
Wenzako wameisha rudi mpakani kama huna habari mtasikia wanakubali kurudisha matekwa kwa amri ya Super Power wa Middle East Al Qasam brugedies [ Hamasi]

Watu wakanisani lazima wawe wanapenda mchezo wao.
 
Iran mwenyewe kawa kimya wakati mstari ushavukwa
Sa vipi US si pia alisema atawapiga Hezbullah wakipiga Israel siku zote hizi Hezbullah anapiga Israel, mbona hujasema hili umeona la Iran tu.

Na vipi Israel si amepigwa na Yemen, alisema ataipiga Yemen mbona kaufyata.
 
Katika maisha yangu nilijua uislamu na unafiki ni adui, lakini kwa sasa naona tofauti sana.
Huyo muezbulah nimemsikia akisifu Hamas kwa kuishambulia Israel,kuua na kuteka watu, lakini akailaumu Israel kwa kuwapiga Hamas hata wakiwa ndani ya mashimo! Huu ndiyo uislamu? Au ni ulebanon.
" Imeandikwa waueni hata kama wakiwa wamejificha chini ya mawe"
Sasa wayahudi wao wamekuja na hili" waueni hata kama watakuwa wamejificha chini ya ardhi"
 
Usichokijua israel hakuna wakristo na waislamu wapo 20% huku wakristo hata 2% hawafiki
Kwa hiyo? Hatuzungumzii ukristo,uyahudi na uislamu, bali wauaji kuadhibiwa haijalishi ni mkristo au myahudi amana islam.
Unawafuta Hamas kwa ajili ya uislamu! Ujinga tu.
 
Ukwel uliopo Hezbollah huwez kumtetea Kwa chochote,mtu hawezi akawa anakuweza akakuacha wakati unamkera na kumzalilisha,NI kama mtu anapiga mke wako mangumi mbele yako afu ukae kimya uwanze kujitetea, hapana we sema Tu na Mimi nkijichanganya itakuwa noma
 
Sa vipi US si pia alisema atawapiga Hezbullah wakipiga Israel siku zote hizi Hezbullah anapiga Israel, mbona hujasema hili umeona la Iran tu.

Na vipi Israel si amepigwa na Yemen, alisema ataipiga Yemen mbona kaufyata.
kumbe hadi kilema Yemen kaipiga Israeli. Hivi ni nini maana ya kupiga.
 
Usichokijua israel hakuna wakristo na waislamu wapo 20% huku wakristo hata 2% hawafiki
Kwani watu hapa wanaongelea dini na idadi ya waumini shekhe?🤣🤣🤣🤣🤣
Nasrallah katoa hotuba akiwa shimoni kama nguchiro🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kimsboy ndio yuko nje kwasababu alikimbilia Tanzania, naye sahivi angekuwa shimoni🤣🤣🤣🤣
 
Bado ujasema
 
kumbe hadi kilema Yemen kaipiga Israeli. Hivi ni nini maana ya kupiga.
Hakuna hata dron, sijui ballestic ya Yemen iliyotua ktk ardhi ya Israel ustaadh ok🤣🤣🤣🤣 kiongozi wenu alitoa hotuba akiwa wapi?🤣🤣🤣

Kwamba Hezbollah nao wako shimoni, binadamu wamegeuka panya aise Israel apunguze ubabe, wazee akina Nasrallah wanapata shida🤣🤣🤣🤣
 
Gaza wanaume tu ndio wako nje, wewe uko Gaza sehemu gani mwanamke we, wanawake wote wa Gaza wako shimoni toka 7 oktoba, jamani kumbe binadamu anaweza kuishi chini ya ardhi kama nguchiro🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ustaadh wewe unabwabwaja ujinga hapa coz ulikimbilia Tanzania, but ungebaki kwenu huko sahivi ungekuwa chini ya ardhi kama Hassan Nasrallah kiongozi wenu ametoa mahubiri yake kwenu akiwa chini ardhi kama panya ubatwambia nini hapa🤣🤣🤣
 

Unateseka sana hadi huruma, kuandika andika hizi insha kwenye nyuzi, Israel wanatembeza kichapo, Hezbollah walishindwa kufanya chochote maana Lebanon ingepigwa kama mbwa, jana mlisema mtaandamana, bado mpo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…