Hezbollah ilisubiriwa kuingia kwenye vita, kiongozi wao kabwatuka mikwara kisha kaenda kulala zake

we uliwahi kuona mkristo hai support Israel, hata kama yuko wrong.

Dalili hapa wakristo wote wanafurahi kuona watoto/wanawake wa Gaza wameuliwa eti kuna kambi ya Hamadi Hospital au misikitini 😄


View: https://youtube.com/shorts/zQs9hcsIzjE?si=0Q4OcJ8aR0OjBja6
Kampeni pesa Rais wa Lebanon kwa kuwazuia Hezbullah wasingie na Israel total war 😄
 

Attachments

  • Screenshot_20231104_170823_Samsung Internet.jpg
    165.4 KB · Views: 1
Tumeanza kuitana wajinga tena?

Nimesha kwambia tatizo la Palestina ni la wapalestina na sio waarabu wote,kama ambavyo matatizo ya Congo na Sudan ni ya wao wenyewe na sio wa waafrika wote, unatakiwa uelewe hivyo.

Acheni kurazimisha mambo nchi nyingine za Kiarabu zikiamua kuisaidia palestina zitaisaidia kwa mapenzi ya na kwa maslahi yao na sio kurazimisha iwe wajibu wao eti wasipo wasaidia basi basi wanaiogopa Israel.

Kuhusu kupigana vita ,vita yeyote inayo piganiwa mjini huwa ni razima ipiganiwe katikati ya watu haijalishi una pigana na jeshi au kikundi.
Kwa hiyo Ukraine na Urusi huwa wakifika mjini huwa wanapigania angani na siyo kwenye majumba ya watu?

Au sisi kipindi tuna pigana na majeshi ya Uganda na kuiteka Kampala tulikuwa tunapigania angani?
 

Swali lako ni sawa useme, uliwahi ona muislamu haisapoti Palestina?

Wapo kibao.
Mimi mwenyewe siisapoti hiyo Israel na ni mkristo.
Ila siwezi kaa upande wa Watu wajinga ambao ni Palestina. Mimi na ujinga ni maadui.
Mimi na udhalimu ni maadui.

Kwa mfano, Palestina na wewe unayeisapoti hamjui hata kwa nini mnapigana hiyo vita. Hamna malengo.
Mñajua kabisa mkianzisha vita mtapigwa na mtasababisha kushindwa zaidi na zaidi. Lakini kwa vile ni wapumbavu na wajinga mnaanzisha vîta, siwezi kaa upande wa mtu mjinga.

Angalia China anavyoshughulikia ishu ya Taiwan. Anatumia Akili. Lakini kijiti mijinga haina tofauti na nyumbu. Inajipeleka mdomoni mwa Mamba alafu unategemea nini hapo.
 
Unadhani mimi naongea uwongo kama nyie, Hezbullah wanawatu wao kwenye Parliament ya Lebanon sa wapi nimeongea uwongo, Rais wa Lebanon yuko karibu na Hezbullah savwapi nimeongea uwongo

INFORMATION
Hezbollah has been a fixture of the Lebanese government since 1992, when eight of its members were elected to Parliament, and the party has held cabinet positions since

14, 2023


Hezbollah-backed Najib Mikati appointed Lebanese PM
Published
25 January 2011
 

Wapalestina sio Waarabu?

Wakongo sio Waafrika?

Unakataa sio wajinga alafu dakika tatu zijazo wanafanya ujinga na wewe unasopoti ujinga. Sasa wote hapo si wajinga tuu.

Ni sawa na wanaoisapoti Israel inayofanya dhulma, wote ni wadhulumati tuu. Anayesapotu na anayefanya kazi moja.
 
Duu basi umeshinda kwaheli.
 

Hawezi kuingilia sababu jamii nzima ya Lebanon imesema imechoka vita na Israel maana kichapo cha 2006 watu wa Lebanon wanakikumbuka kilikuwa sio cha kitoto.

Hezbula imepoteza Askari zaidi ya 50 katika hii rasharasha ya siku chache tu na sio vita nyenyewe na Hilo imewashitua wakuu wa Hezbula .

Jambo lingine usa 🇺🇸 amekataza kikundi au nchi yoyote kuingilia ugomvi wa Gaza .
 
Na Israel imepoteza wanajeshi wangapi?
 

Nafikiri pia Wapalesina wamejifunza vya kutosha, siku wakirudi Gaza wataishi kwa kutulia, hivi vikundi kama HAMA na Hebollah na Iran yao vitakosa umaarufu kabisa.
 
wewe jifariji tuu, ukweli kamili gaza sasa hivi ipo kama mburahati ya 1967! kila ukienda pembeni utakuta maiti!
 
Usichokijua israel hakuna wakristo na waislamu wapo 20% huku wakristo hata 2% hawafiki
ila si mlivamia Israel wenyewe ? ss maswala ya dini ya nini? malizien mlichoanzisha
 
mnaanza tafuta sababu ?
 
Wenzako wameisha rudi mpakani kama huna habari mtasikia wanakubali kurudisha matekwa kwa amri ya Super Power wa Middle East Al Qasam brugedies [ Hamasi]

Watu wakanisani lazima wawe wanapenda mchezo wao.
Aliyekuwambia hii Vita ni ya kidini kakujaza ujinga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

View: https://youtu.be/NWQbnn0OaIM?si=S-lQJGi4Xnd0_F84

Hata huyu bint wa kiyahudi anawaona jamaa zake ni vichaa tu kuwauwa watoto, wagonjwa na wanawake na ambulance eti wako Hamasi mle 😄

Israel policy na silaha nipige tu napo taka hata kama Hamasi wako kwingine, wanadhani Hamasi watasimamisha vita wanaota hao. Hawajayfahamu uislamu bado. Uislam ni Mungu tu ndio anaye chukua roho yangu si Jey fighter au vifaru, Allah Akbar



View: https://youtu.be/RRueO6UgbHY?si=HofZDZYRq1kGhYyS
Wengine wanza kuufahamu Uislam sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…