Hezbollah Waingia ndani ya Galilee Israel na kuteka maeneo

Hezbollah Waingia ndani ya Galilee Israel na kuteka maeneo

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
Wapiganaji wa Hezbollah wameingia ndani ya Mji wa Galile na kuteka mji huo pamoja wana Wanamgambo wa IDF waliojisalimisha kuokoa uhai wao Raia wameshauriwa kukimbia mji huo.

🚨 BREAKING: Hezbollah Forces Push Deep into Northern Israel – Galilee Communities Overrun, Mass Evacuations in Chaos

Hezbollah Riedwaan, armed with advanced Iranian weapons, has broken through the northern border and is now fighting inside Israeli territory in the Galilee region.

Israeli media report intense clashes near Kiryat Shmona and Metula, with several IDF outposts captured. The Home Front Command ordered immediate mass evacuations, causing total gridlock on southern roads.

Footage shows Hezbollah fighters operating well inside Israel. This is the deepest Hezbollah incursion into Israel in history.

(Sources: Channel 13 Israel, Al Jazeera on-ground reporters, Hezbollah military media, IDF Home Front Command – verification ongoing.)

#HezbollahInsideIsrael #NorthernIsraelInvasion #IranProxyPower #IsraelWeak #BreakingNews
War and Peace – Real-time global conflict updates. Share for latest updates.
 

Attachments

  • 20260329_205114.jpg
    20260329_205114.jpg
    159.2 KB · Views: 26
Endelea kujifurahisha kwa habari feki. Israel ipi hiyo ya kutekwa na maadui zake? Labda israel ya kwa mtogole
We jamaa punguzaga mahaba ya kifala. Yanakufanya uwe INLOGIC.
Siku tatu nyuma Mayor wa Galilee na Kiryat Shmona walitangaza kuwa kaya zaidi ya ELFU KUMI zimeteketezwa. Na jana TIMES OF ISRAEL imetangaza Hizbollah HIVI SASA WAPO NDANI YA METULLA NA KIRYAT SHIMONA WAKIPIGANA NA IDF.
Punguza mahaba kunakufanya unakua FALA.
 
Kama ni kweli acha wapelekewe moto
Ni za ukweli wala sio uongo.
Hata vyombo vyao Israel wenyewe walishatangaza.
Video zilisambaa Mayor wa Shmona na Galilaya juzi wakibishana na serikali kuu kuwa wameshindwaje kulinda raia kiasi kaya elfu kumi zinaangamia kwa mashambulizi ya Hizbollah!??
Inamaana Kiryat Shmona na Galilaya zilianza ku collapse tangu JUZI.
 
Endelea kujifurahisha kwa habari feki. Israel ipi hiyo ya kutekwa na maadui zake? Labda israel ya kwa mtogole
Mkuu mi sipo upande wowote ule na ni mkatoliki nilikuwa nakuambia uache ufala kiasi kiasi hiki mkuu.

Nilimuona meya wa huko ana play alarm akisema ikilia vile wana sekunde15 tu za kujificha shimoni anahoji hizo sekunde 15 kama una watoto 2 utaokoa yupi uache yupi?
 
AI hiyo ni kama kinogesho cha habari. Ila vyombo vya habari hadi vikubwa vimetangaza Metula na Kiryat Shimona zimevamiwa na Hizbollah. Ikiwemo Times of Israel wameripoti hilo.
Kwanini wasitumie picha halisi kama kweli wameteka maeneo hayo, IDF is deep inside Lebanon and still conquering more territories sasa hiyo U-turn out of blue imeanza lini.
Wote hatuna faida nao lakini kupost uongo usiokaribiana hata kiduchu na uhalisia that's worse than being delusional.
 
AI hiyo ni kama kinogesho cha habari. Ila vyombo vya habari hadi vikubwa vimetangaza Metula na Kiryat Shimona zimevamiwa na Hizbollah. Ikiwemo Times of Israel wameripoti hilo.
weka link ya hicho "chombo kikubwa"
 
Habari za kiislam always ni uongo, wao hudai uongo unakomaza imani ya kiislam.

Ukweli israel imeongeza eneo zaidi ndani ya Lebanon, mango uliopo hayo maeneo yatakua mali ya israel forever.
Unavuta ugoro au gundi mkuu maana hata anayetumia bangi kichwa chake kina afadhali
 
Back
Top Bottom