Mwanjigwene
Member
- Mar 1, 2021
- 62
- 45
Punguzeni mahaba wairani wa namtumbo. israel ipi unayoizungumzia hii yenye nuclear power au?
Hizi habari naziona toka juzi,nikawa skeptical(sina uhakika skeptical inamaanisha nini)Wapiganaji wa Hezbollah wameingia ndani ya Mji wa Galile na kuteka mji huo pamoja wana Wanamgambo wa IDF waliojisalimisha kuokoa uhai wao Raia wameshauriwa kukimbia mji huo.
🚨 BREAKING: Hezbollah Forces Push Deep into Northern Israel – Galilee Communities Overrun, Mass Evacuations in Chaos
Hezbollah Riedwaan, armed with advanced Iranian weapons, has broken through the northern border and is now fighting inside Israeli territory in the Galilee region.
Israeli media report intense clashes near Kiryat Shmona and Metula, with several IDF outposts captured. The Home Front Command ordered immediate mass evacuations, causing total gridlock on southern roads.
Footage shows Hezbollah fighters operating well inside Israel. This is the deepest Hezbollah incursion into Israel in history.
(Sources: Channel 13 Israel, Al Jazeera on-ground reporters, Hezbollah military media, IDF Home Front Command – verification ongoing.)
#HezbollahInsideIsrael #NorthernIsraelInvasion #IranProxyPower #IsraelWeak #BreakingNews
War and Peace – Real-time global conflict updates. Share for latest updates.
Hizi habari naziona toka juzi,nikawa skeptical(sina uhakika skeptical inamaanisha nini)
Leo waandishi wa habari wa CNN walilazimika kukimbilia bunker baada ya mapigano kupamba moto kaskazini mwa Israel, huenda hizi habari Zina ukweliPunguzeni mahaba wairani wa namtumbo. israel ipi unayoizungumzia hii yenye nuclear power au?
Huo ni utani kama huu na sio picha halisiView attachment 3564304
Very cheap AI bullcrap👆🏾
Ubishi mwingine haufai.Kwanini wasitumie picha halisi kama kweli wameteka maeneo hayo, IDF is deep inside Lebanon and still conquering more territories sasa hiyo U-turn out of blue imeanza lini.
Wote hatuna faida nao lakini kupost uongo usiokaribiana hata kiduchu na uhalisia that's worse than being delusional.
NENDA TIMES OF ISRAEL KAISAKE HIYO HABARI. BUNDLE UNALO.weka link ya hicho "chombo kikubwa"
Kwani sijuzi tu mkuu wa majeshi wa Israel alitoa statement kwamba Jeshi la Israel lipo katika Hali mbayaNi za ukweli wala sio uongo.
Hata vyombo vyao Israel wenyewe walishatangaza.
Video zilisambaa Mayor wa Shmona na Galilaya juzi wakibishana na serikali kuu kuwa wameshindwaje kulinda raia kiasi kaya elfu kumi zinaangamia kwa mashambulizi ya Hizbollah!??
Inamaana Kiryat Shmona na Galilaya zilianza ku collapse tangu JUZI.
🤣🤣Mkuu mi singalong upande wowote ule na ni Morristown mkatoliki nilikuwa nakuambia uache ufala kiasi kiasi hiki mkuu.
Nilimuona meya wa huko ana play alarm akisema ikilia vile wana sekunde15 tu za kujificha shimoni anahoji hizo sekunde 15 kama una watoto 2 utaokoa yupi uache yupi?
Weka link acha kuongea uharo uliokila tende zilizooza kutoka uarabuni baada ya mwezi wa mfungo wewe bado unazitumia zimesha expireNENDA TIMES OF ISRAEL KAISAKE HIYO HABARI. BUNDLE UNALO.
Zina ukweli kwa maana ya wanayavurumisha makombora upande wa Kaskazini mwa taifa hilo la Kiyahudi na sio eti Hezbollah wapo front wanapigana vita vya ardhini...Leo waandishi wa habari wa CNN walilazimika kukimbilia bunker baada ya mapigano kupamba moto kaskazini mwa Israel, huenda hizi habari Zina ukweli
We MSENGE nimekwambia nenda katafute hiyo habari TIMES OF ISRAEL. UKIIKOSA NJOO UNIKOSOE.Weka link acha kuongea uharo uliokila tende zilizooza kutoka uarabuni baada ya mwezi wa mfungo wewe bado unazitumia zimesha expire
Wapuuzi hawajielewi wanaleta hisia kwenye mambo logic.Kwani sijuzi tu mkuu wa majeshi wa Israel alitoa statement kwamba Jeshi la Israel lipo katika Hali mbaya
Au Hawa wayahudi wa chole hawakumsikia !?
Wewe dada si ndio umeleta habari hapa? ili uaminike weka link sio unaleta habari za kufikirika hapa kwa wasomiWe MSENGE nimekwambia nenda katafute hiyo habari TIMES OF ISRAEL. UKIIKOSA NJOO UNIKOSOE.
Niondolee uhanithi hapa.