Hezbollah Waingia ndani ya Galilee Israel na kuteka maeneo

Hizi habari naziona toka juzi,nikawa skeptical(sina uhakika skeptical inamaanisha nini)
 
Hizi habari naziona toka juzi,nikawa skeptical(sina uhakika skeptical inamaanisha nini)
Punguzeni mahaba wairani wa namtumbo. israel ipi unayoizungumzia hii yenye nuclear power au?
Leo waandishi wa habari wa CNN walilazimika kukimbilia bunker baada ya mapigano kupamba moto kaskazini mwa Israel, huenda hizi habari Zina ukweli
 
Mwisho wa mashoga ndio huu piga..
 

Attachments

  • 20260328_210107.jpg
    144.6 KB · Views: 15
Ubishi mwingine haufai.
-Walioripoti Hizbollah kuingia ndani ya Israel ni TIMES OF ISRAEL.
Na wamedai kaya elfu 10 kuteketezwa. NENDA KAWABISHIE TIMES OF ISRAEL sio sisi bro.
Maana ubishi mwingine wa KITOTO.
 
Netanyahu kakutana na mjinga mwenzie Trump hakuna kitu vichwani mwao zaidi ya kuwaza kuuana tu wazungu wa hovyo sana hao wameifanya Dunia kukosa amani na utulivu..
 
Kwani sijuzi tu mkuu wa majeshi wa Israel alitoa statement kwamba Jeshi la Israel lipo katika Hali mbaya

Au Hawa wayahudi wa chole hawakumsikia !?
 
🤣🤣
 
NENDA TIMES OF ISRAEL KAISAKE HIYO HABARI. BUNDLE UNALO.
Weka link acha kuongea uharo uliokila tende zilizooza kutoka uarabuni baada ya mwezi wa mfungo wewe bado unazitumia zimesha expire
 
Leo waandishi wa habari wa CNN walilazimika kukimbilia bunker baada ya mapigano kupamba moto kaskazini mwa Israel, huenda hizi habari Zina ukweli
Zina ukweli kwa maana ya wanayavurumisha makombora upande wa Kaskazini mwa taifa hilo la Kiyahudi na sio eti Hezbollah wapo front wanapigana vita vya ardhini...
 
Weka link acha kuongea uharo uliokila tende zilizooza kutoka uarabuni baada ya mwezi wa mfungo wewe bado unazitumia zimesha expire
We MSENGE nimekwambia nenda katafute hiyo habari TIMES OF ISRAEL. UKIIKOSA NJOO UNIKOSOE.
Niondolee uhanithi hapa.
 
Kwani sijuzi tu mkuu wa majeshi wa Israel alitoa statement kwamba Jeshi la Israel lipo katika Hali mbaya

Au Hawa wayahudi wa chole hawakumsikia !?
Wapuuzi hawajielewi wanaleta hisia kwenye mambo logic.
Mpuuzi mwingine namwambia nenda katafute hiyo habari Times of Israel anasema naongea uharo.
 
We MSENGE nimekwambia nenda katafute hiyo habari TIMES OF ISRAEL. UKIIKOSA NJOO UNIKOSOE.
Niondolee uhanithi hapa.
Wewe dada si ndio umeleta habari hapa? ili uaminike weka link sio unaleta habari za kufikirika hapa kwa wasomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…