Hezbollah wanapigana kwa maslahi ya Nani? Mbona wanawaumiza raia wa Lebanon

Hezbollah wanapigana kwa maslahi ya Nani? Mbona wanawaumiza raia wa Lebanon

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Hawa Hezbollah hupigana kwa masilahi ya Nani

Hamas hupigana kwa maslahi ya nchi yao ya Palestine na hawa Hezbollah kwa masilahi yapi na ya nani

Mbona wanawaumiza walebanon

Kwani Israel na Lebanon zina ugomvi

Je, Hezbollah pale Lebanon ni akina nani je ni chama cha siasa au watu gan hawa

LONDON BOY
 
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Hawa Hezbollah hupigana kwa masilahi ya Nani

Hamas hupigana kwa masilahi ya nchi yao ya Palestine na hawa Hezbollah kwa masilahi yapi na ya nani

Mbona wanawaumiza walebanon

Kwani Israel na Lebanon zina ugomvi

Je Hezbollah pale Lebanon ni akina nani je ni chama cha siasa au watu gan hawa

LONDON BOY
*Mzozo wa Lebanon na Israel ni wa muda tangia 1990s.

Na tambua ya kuwa uimara wa Israel na ushawishi wa Marekani mashariki ya kati ni saratani kwa waarabu.
Unadhani Israel akiichukua Gaza na kuihodhi Palestina yote Lebanon itabaki salama!?

Israel ishawahi kunyakua ardhi ya Lebanon kabla.

*Hizbollah ni kundi la kishia lenye mlengwa wa kisiasa hapo Lebanon likifadhiliwa na Iran.Na lina viti vya wabunge kwenye serikali ya Lebanon.
 
Hadi sasa Israel kafyeka Hezbollah 200+ kwa Leo tu
Sio hizbollah hawajaua hata mmoja leo hao ni raia, leo bado hatujatangaziwa kifo cha hizbo wao hawafichi watatoa taarifa usiwe na haraka, N.B majina ya askari wahizbo ya halisi ni tofauti na wanayo tumia wakiwa front yaani kambini kwahio wana dabo names
 
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Hawa Hezbollah hupigana kwa masilahi ya Nani

Hamas hupigana kwa maslahi ya nchi yao ya Palestine na hawa Hezbollah kwa masilahi yapi na ya nani

Mbona wanawaumiza walebanon

Kwani Israel na Lebanon zina ugomvi

Je, Hezbollah pale Lebanon ni akina nani je ni chama cha siasa au watu gan hawa

LONDON BOY
Wahamiaji haramu.
 
Nimeangalia kwenye mtandao x wa mossad daah!! Israel anashambulia kwa nguvu kubwa maghala ya silaha ya hezbollah na maeneo mbalimbali yaani ni moto wa kutisha kiukweli lebanon itageuka kama gaza
 
Nimeangalia kwenye mtandao x wa mossad daah!! Israel anashambulia kwa nguvu kubwa maghala ya silaha ya hezbollah na maeneo mbalimbali yaani ni moto wa kutisha kiukweli lebanon itageuka kama gaza
Sehemu iliyoshambuliwa ni ya raia sio maghala ya silaha ya Hizbollah.
Hizbollah silaha zao huzificha chini ya tunnels.
 
Nenda google acha uvivu sheikh.
😂😂😂😂😂😂
Screenshot_2024-09-23-18-39-57-46_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-23-18-40-54-97_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Back
Top Bottom