Hezbollah wanapigana kwa maslahi ya Nani? Mbona wanawaumiza raia wa Lebanon

Hezbollah wanapigana kwa maslahi ya Nani? Mbona wanawaumiza raia wa Lebanon

Kipigo kikianza Hezbollah hawatomsikiliza Biden.
Israel silaha anayotumia ni kushambulia makazi ya raia kuishinikiza Hezbollah aache kuanzisha vita kwa uoga wa kuogopa kushambuliwa.
Halafu kobazi hatutaki vilio vyenu vya kinafiki kuwataja taja watoto na wanawake kama kichaka cha kutafuta huruma ya dunia ili hali israel ilishatuma meseji raia waondoke maeneo ya hezbollah na silaha zao
 
Israel ndio kwao hapo unataka waende wapi?!
Netanyahu ni mpoland,jina lake halisi ni Benjamin benzion mileikowsky, babaake alijipa jina la netanyahu baada ya kuhamia palestine, waisrael wengi wanajua walikotoka, wengine walipima DNA na wakajikuta hawana DNA za hapo,yakifika kooni watarudi walikotoka
 
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Hawa Hezbollah hupigana kwa masilahi ya Nani

Hamas hupigana kwa maslahi ya nchi yao ya Palestine na hawa Hezbollah kwa masilahi yapi na ya nani

Mbona wanawaumiza walebanon

Kwani Israel na Lebanon zina ugomvi

Je, Hezbollah pale Lebanon ni akina nani je ni chama cha siasa au watu gan hawa

LONDON BOY
Anasaidia waislam wenziwe wa Palestina
 
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Hawa Hezbollah hupigana kwa masilahi ya Nani

Hamas hupigana kwa maslahi ya nchi yao ya Palestine na hawa Hezbollah kwa masilahi yapi na ya nani

Mbona wanawaumiza walebanon

Kwani Israel na Lebanon zina ugomvi

Je, Hezbollah pale Lebanon ni akina nani je ni chama cha siasa au watu gan hawa

LONDON BOY
Walokole bana eti anawaonea huruma Lebanon😀😀

Upo Makete unahoji mamlaka ya Lebanoni Watanzania bana😀
 
Netanyahu ni mpoland,jina lake halisi ni Benjamin benzion mileikowsky, babaake alijipa jina la netanyahu baada ya kuhamia palestine, waisrael wengi wanajua walikotoka, wengine walipima DNA na wakajikuta hawana DNA za hapo,yakifika kooni watarudi walikotoka
Wanaweza kuwa converts kweni dna ya waisilamu ni ipi?
 
Halafu kobazi hatutaki vilio vyenu vya kinafiki kuwataja taja watoto na wanawake kama kichaka cha kutafuta huruma ya dunia ili hali israel ilishatuma meseji raia waondoke maeneo ya hezbollah na silaha zao
Hezbollah pia wana uwezo kushambulia makazi ya watu, wana uwezo kupiga sehemu yeyote Israel kwenye makazi na kuua hata raia 3000, lakini huo ni unyama na ni ujinga kudhani Israel anavyoua raia kwamba ndio ushindi.
 
Walokole bana eti anawaonea huruma Lebanon😀😀

Upo Makete unahoji mamlaka ya Lebanoni Watanzania bana😀
Mimi huwa sipendi kuona mkristo anateseka ni wa lokole wezangu hao naumia sana damu ya yesu iwaponye
 
Mgogoro kati ya Lebanon na Israel ni wa muda mrefu na kuna baadhi ya maeneo ya Lebanon yanakaliwa na Israel kimabavu.
Kwahiyo wanapambania nchi yao?
 
Eneo lililolopuliwa sio eneo la kambi ya Hizbollah.
Tushawazoea Israel wakishindwa mapigano wanahamisha hasira kwa raia.
Tuliwaambia mapema sana kwamba soon mtakuja humu kulalama eti Wanawake na Watoto wanauliwa!!

Puumbavu
 
Israel akiendelea kupiga sehemu za raia, Hezbollah pia ana makombora kupiga sehemu yeyote ile Israel, tukiacha ushabiki nadhani Israel haiwezi kukabiliana na Hezbollah.
Ona Kobaz jingine hili hapa. Hii dini inawaroga akili
 
Hizbullah iliundwa kwa lengo la kuiondoa Israel kwenye ardhi ya Lebanon ambayo iliteka miaka ya 1980 baada ya kuona jeshi la Lebanon limeshindwa, kwa kiasi fulani walifanikiwa kwenye vita ya mwaka 2006 japo sio sana.
Asante sana sasa huon kwamba leo inaleta mateso kwa watu
 
Back
Top Bottom