gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Ona Kobaz jingine hili hapa. Hii dini inawaroga akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona Kobaz jingine hili hapa. Hii dini inawaroga akili
Bila Hezbollah zamani tu Lebanon ingekua chini ya Israel, na Lebanon mostly ni Serikali ya Kikristo. Huu ugomvi upo maelfu ya miaka, kifupi wakristo wa hayo maeneo huwa haziendi na westAmani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Hawa Hezbollah hupigana kwa masilahi ya Nani
Hamas hupigana kwa maslahi ya nchi yao ya Palestine na hawa Hezbollah kwa masilahi yapi na ya nani
Mbona wanawaumiza walebanon
Kwani Israel na Lebanon zina ugomvi
Je, Hezbollah pale Lebanon ni akina nani je ni chama cha siasa au watu gan hawa
LONDON BOY
Raia wanaowalinda magaidi nao ni magaidi piaEneo lililolopuliwa sio eneo la kambi ya Hizbollah.
Tushawazoea Israel wakishindwa mapigano wanahamisha hasira kwa raia.
Acha unafiki hezbollah wanashambulia raia sema israel imewekeza kwenye kulinda raia wake kama mifumo ya ulinzi na shelters na inawahamisha raia sehemu hatarishi tofauti na nyie kobazi mnawatumia raia kama ngao na kutafuta huruma za duniaHezbollah pia wana uwezo kushambulia makazi ya watu, wana uwezo kupiga sehemu yeyote Israel kwenye makazi na kuua hata raia 3000, lakini huo ni unyama na ni ujinga kudhani Israel anavyoua raia kwamba ndio ushindi.
Huelewi mambo mengi kuhusu mifumo ya ulinzi wa anga inavyofanya kazi.Acha unafiki hezbollah wanashambulia raia sema israel imewekeza kwenye kulinda raia wake kama mifumo ya ulinzi na shelters na inawahamisha raia sehemu hatarishi tofauti na nyie kobazi mnawatumia raia kama ngao na kutafuta huruma za dunia
Wakiogopa hayo unayo yaita mateso basi wawe tiyari kumezwa na Israel kama wapalestina.Asante sana sasa huon kwamba leo inaleta mateso kwa watu
Sasa unashangaa vipi kuhusu Wayahudi?Waislam wanna kwao tofauti tofauti,mimi nipo ikwiriri,mbs yupo saudia, ice cube marekani
Una ushahidi wanawalinda?Raia wanaowalinda magaidi nao ni magaidi pia
Mkuu ulivyoeleza kama upo Beirut duuh!Huelewi mambo mengi kuhusu mifumo ya ulinzi wa anga inavyofanya kazi.
Hezbollah wakitaka kupiga sehemu za raia wanapiga.
Iron dome battery moja ina launchers 3 hadi 4 kila launcher ina interceptors 20, ina maana kama kama zote zina missiles na launchers ni 4 hapo ni interceptors 80.
Interceptors 80 tufanye zote zinaweza kuzuia missiles kwa usahihi japo si kweli, Hezbollah wanaweza kurusha Katyusha missiles hata 1000 kwenye eneo moja tu.
Unaelewa gharama ya missile moja ya interceptor ya iron dome? Ni usd 60,000 au zaidi..hapo hio missile moja ni sawa na Tshs 163 milioni piga mara 80...ni zaidi ya bilioni 13 Tshs.
Katysha missile moja gharama ni around $ 300 tu, Hezbollah wana Katyusha missile ambazo hazihesabiki, na hizi kwa hizi siku huwa wanazitumia ku confuse iron dome kabla ya kurusha missile zao zenye uwezo kupiga target wanazotaka.
Katusha zikirushwa 1000 Iron dome katika hilo eneo itakaukiwa interceptors kwa kutaka kuzuia kila missile, hapo ndipo zinatumwa missiles za ki stratejia kama fajr 3 au fajr 5 na kuangamiza makazi ya watu n.k
Licha ya hivyo iron dome imeshaonyesha mapungufu kwa kushindwa kuzuia baadhi ya miisiles za Iran na Hezbollah.
Hapo nimeeleza kwa ninavyofahamu mimi mvaa kobazi kutoka Kibondo, lakini ukweli Hezbollah wanaweza kushambulia makazi ya raia kwa wepesi zaidi na wanaweza pia kushambulia hizo iron dome kwa usahihi kwa mbinu zao na uelewa wao kuhusu air defense.
Kwenye vita na jeshi kama Hezbollah halafu unaanza kuleta story za air defense inaonyesha hujui chochote...
Unaropoka nini mwanahizaya wewe!?Tuliwaambia mapema sana kwamba soon mtakuja humu kulalama eti Wanawake na Watoto wanauliwa!!
Puumbavu
Hawa ni wajinga, hawana hoja za msingi kazi ni kusema kobazi, kobazi...Mkuu ulivyoeleza kama upo Beirut duuh!
🙌🙌🙌
Mkuu nikunyooshee tu mikono🙌🙌🙌🙌.Hawa ni wajinga, hawana hoja za msingi kazi ni kusema kobazi, kobazi...
Ni weupe sana, ningefurahi sana mtu anakuja na hoja za msingi tunateremsha madini hapa...
Nikisema kuelezea migogoro ya mashariki ya kati naweza kukesha hapa... Lakini hao watu wako wpi sasa?
We check ht BBC basi kabla hujapinga kituSio hizbollah hawajaua hata mmoja leo hao ni raia, leo bado hatujatangaziwa kifo cha hizbo wao hawafichi watatoa taarifa usiwe na haraka, N.B majina ya askari wahizbo ya halisi ni tofauti na wanayo tumia wakiwa front yaani kambini kwahio wana dabo names
Ushahidi huu hapa waliouawa wote ni raia.We check ht BBC basi kabla hujapinga kitu
Angalia habari kutoka vyanzo tofauti
Unachosema kingekuwa kweli Israel isingekwepo hapo mashariki ya kati. Maana ndoto ya makundi yote hayo ni kuhakikisha Israel inafutika kwenye uso wa dunia.Israel akiendelea kupiga sehemu za raia, Hezbollah pia ana makombora kupiga sehemu yeyote ile Israel, tukiacha ushabiki nadhani Israel haiwezi kukabiliana na Hezbollah.
Kupiga raia hata M23 wakipelekwa mpakani pale Lebanon na rockets zao za kienyeji wanaweza kupiga makazi ya raia na kuua wengi.Mkuu nikunyooshee tu mikono🙌🙌🙌🙌.
Shida jukwaa limejaa ushabiki badala ya hoja.
Mtu akija anaropoka tu kulingana na ushabiki.
Ila ukimuuliza hoja za msingi hakuna atakalokupa.
Mfano kama huyo anakwambia hizbollah wanashindwa kushambulia raia,sasa ukimuuliza kama Hizbollah waliweza kulipua kambi ya jeshi ya Galilaya ikiwa na mifumo ya iron dome je watashindwaje kulipua raia??
Hoja hana atakuita kobaz.
Uyahudi umefungamanishwa na race,japo mtu yoyote aweza kuwa myahudi,kuna tofauti na myahudi na muisraelSasa unashangaa vipi kuhusu Wayahudi?
Hezbollah ni kikundi cha wanamgambo ambacho hakiitambui serikali ya Lebanon.Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Hawa Hezbollah hupigana kwa masilahi ya Nani
Hamas hupigana kwa maslahi ya nchi yao ya Palestine na hawa Hezbollah kwa masilahi yapi na ya nani
Mbona wanawaumiza walebanon
Kwani Israel na Lebanon zina ugomvi
Je, Hezbollah pale Lebanon ni akina nani je ni chama cha siasa au watu gan hawa
LONDON BOY
Si kweli, we unaamini kipi?Unachosema kingekuwa kweli Israel isingekwepo hapo mashariki ya kati. Maana ndoto ya makundi yote hayo ni kuhakikisha Israel inafutika kwenye uso wa dunia.