imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Wayahudi wa Ethiopia?!Uyahudi umefungamanishwa na race,japo mtu yoyote aweza kuwa myahudi,kuna tofauti na myahudi na muisrael
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wayahudi wa Ethiopia?!Uyahudi umefungamanishwa na race,japo mtu yoyote aweza kuwa myahudi,kuna tofauti na myahudi na muisrael
Kuna wayahudi wasio waisrael na waethiopia,hata wewe waweza kuwa yahudi, israel kuna waislam, wakristu na wayahudiWayahudi wa Ethiopia?!
Kuna wale suni naona haziivi kabisa na hao shia.*Mzozo wa Lebanon na Israel ni wa muda tangia 1990s.
Na tambua ya kuwa uimara wa Israel na ushawishi wa Marekani mashariki ya kati ni saratani kwa waarabu.
Unadhani Israel akiichukua Gaza na kuihodhi Palestina yote Lebanon itabaki salama!?
Israel ishawahi kunyakua ardhi ya Lebanon kabla.
*Hizbollah ni kundi la kishia lenye mlengwa wa kisiasa hapo Lebanon likifadhiliwa na Iran.Na lina viti vya wabunge kwenye serikali ya Lebanon.
Chini ya watu ...Sehemu iliyoshambuliwa ni ya raia sio maghala ya silaha ya Hizbollah.
Hizbollah silaha zao huzificha chini ya tunnels.
Na wananchi wamepewa masa 72 kuhama maeneo hezb wanatumiaAmani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Hawa Hezbollah hupigana kwa masilahi ya Nani
Hamas hupigana kwa maslahi ya nchi yao ya Palestine na hawa Hezbollah kwa masilahi yapi na ya nani
Mbona wanawaumiza walebanon
Kwani Israel na Lebanon zina ugomvi
Je, Hezbollah pale Lebanon ni akina nani je ni chama cha siasa au watu gan hawa
LONDON BOY
Ulisemaje kuwa ni Race?!Kuna wayahudi wasio waisrael na waethiopia,hata wewe waweza kuwa yahudi, israel kuna waislam, wakristu na wayahudi
Bora uendelee kudhani.Israel akiendelea kupiga sehemu za raia, Hezbollah pia ana makombora kupiga sehemu yeyote ile Israel, tukiacha ushabiki nadhani Israel haiwezi kukabiliana na Hezbollah.
Yeah sunni na shia kuna mkanganyiko wa kiitikadi.Kuna wale suni naona haziivi kabisa na hao shia.
Hakuna huo ushahidi silaha za Hizbollah nzito sio za kuficha chini ya watu acheni utani ninyi.Chini ya watu ...
Hizbollah anaogopa tension ya mabwana wa Ulaya na Marekani.Bora uendelee kudhani.
Hivi ni nani unaweza kumwamini kirahisi?Yeah sunni na shia kuna mkanganyiko wa kiitikadi.
Japo siku hizi kidogo mkanganyiko umepoa angalau wanakaa meza moja.
Zamani dooh walikua haziivi.
Mimi ninaamini nikihakikisha taarifa sahihi tu.Hivi ni nani unaweza kumwamini kirahisi?
Hezbollah akiongea kuhusu vifo vya walebanon.
Israeli akiongea kuhusu vifo vya waisrael.
Sijasema hana uwezo.Hizbollah anaogopa tension ya mabwana wa Ulaya na Marekani.
Ila sio kwamba haina huo uwezo mkuu.
Israel ishukuru hawa mabwana wakubwa wanamlea sana.
Ashukuru hilo.
Huoni hezbollah kutangaza kirahisi ni kutafuta sympathy kwa watu, ili ipate uungwaji mkono na washirika na raia kwa kuonyesha wanaonewa?Mimi ninaamini nikihakikisha taarifa sahihi tu.
Japo nisidanganye za Israel nitachukua muda kuzihakiki.
Za hizbollah huwa wao wakilipuliwa lazima uone wametangaza na wanatangaza na msiba unafanyika hadharani.
Na kama ni raia basi itatangaza serikali kuu ya Lebanon sio Hizbollah.
Ila ukija kwa Israel mbaka kuhakiki taarifa ni mbinde.
Tukisema asiingiliwe mtu mkuu Israel inaweza isitoboe.Sijasema hana uwezo.
Tukiacha ushabiki, hivi unaamini Israel hana uwezo wa kupambana na Hezbollah?
Kama hezbollah ana siraha nzito nzito anazopewa na Iran, vipi kuhusu Israel?
Unaamini hezbollah ina uwezo wa kuiangamiza Israel yenye nuclear power.?
Hizbollah inatangaza members wake wanaouawa na kufanya mazishi na hiyo mi desturi yao mtu akifa vitani sawa kafa shahidi.Basi hutangazwa na kuzika.Huoni hezbollah kutangaza kirahisi ni kutaguta sympathy kwa watu, ili ipate uungwaji mkono na washirika na raia kwa kuonyesha wanaonewa?
Hezbolla wame advance sana ki siraha na maarifa.Tukisema asiingiliwe mtu mkuu Israel inaweza isitoboe.
Labda ikitumia nuclear kama unavyodai.
Na hadi ifikie hatua ya kutumia nuke basi imezidiwa sana.
Kwasababu tuki refer vita ya 2006 pale Bint jubeir Israel ilichapika na kipindi hiko Hizbollah ni kundi dogo lenye silaha duni.
Wanamgambo wanaiishi mji wa peke yao? Hawachamgamani na raia?Na anastahili kutangaza huwezi ukaacha kupambana na wanamgambo ukaenda kulipua raia mkuu.