Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Msikitini wamemwambia kuwa Hezbullah atamdunda myahudiSi kweli, we unaamini kipi?
1-Hezbollah haina uwezo kushambulia makazi ya raia wa Israel kwa sababu Israel ina uwezo kuzuia mashambulizi yeyote kutoka Hezbollah?
2-Hezbollah inaweza kushambulia lakini inaogopa majibu kutoka Israel yatakua makali na ya kutisha.
3-Hezbollah haina twchnology na uwezo kushambulia makazi ya raia wa Israel
Au labda una majibu yako binafsi nje ya hayo matatu hapo juu?