*Mzozo wa Lebanon na Israel ni wa muda tangia 1990s.Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Hawa Hezbollah hupigana kwa masilahi ya Nani
Hamas hupigana kwa masilahi ya nchi yao ya Palestine na hawa Hezbollah kwa masilahi yapi na ya nani
Mbona wanawaumiza walebanon
Kwani Israel na Lebanon zina ugomvi
Je Hezbollah pale Lebanon ni akina nani je ni chama cha siasa au watu gan hawa
LONDON BOY
Sio hizbollah hawajaua hata mmoja leo hao ni raia, leo bado hatujatangaziwa kifo cha hizbo wao hawafichi watatoa taarifa usiwe na haraka, N.B majina ya askari wahizbo ya halisi ni tofauti na wanayo tumia wakiwa front yaani kambini kwahio wana dabo namesHadi sasa Israel kafyeka Hezbollah 200+ kwa Leo tu
Wahamiaji haramu.Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Hawa Hezbollah hupigana kwa masilahi ya Nani
Hamas hupigana kwa maslahi ya nchi yao ya Palestine na hawa Hezbollah kwa masilahi yapi na ya nani
Mbona wanawaumiza walebanon
Kwani Israel na Lebanon zina ugomvi
Je, Hezbollah pale Lebanon ni akina nani je ni chama cha siasa au watu gan hawa
LONDON BOY
Nimeangalia kwenye mtandao x wa mossad daah!! Israel anashambulia kwa nguvu kubwa maghala ya silaha ya hezbollah na maeneo mbalimbali yaani ni moto wa kutisha kiukweli lebanon itageuka kama gazaAmani iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Hawa Hezbollah hupigana kwa masilahi ya Nani
Hamas hupigana kwa maslahi ya nchi yao ya Palestine na hawa Hezbollah kwa masilahi yapi na ya nani
Mbona wanawaumiza walebanon
Kwani Israel na Lebanon zina ugomvi
Je, Hezbollah pale Lebanon ni akina nani je ni chama cha siasa au watu gan hawa
LONDON BOY
Usiseme Hizbollah sema raia wa Lebanon.Hadi sasa Israel kafyeka Hezbollah 200+ kwa Leo tu
Hao 200 ni Hizbullah tu au nikupe na majina Yao?Usiseme Hizbollah sema raia wa Lebanon.
Msipotoshe habari,kama hamjui kheri mnyamaze.
Sehemu iliyoshambuliwa ni ya raia sio maghala ya silaha ya Hizbollah.Nimeangalia kwenye mtandao x wa mossad daah!! Israel anashambulia kwa nguvu kubwa maghala ya silaha ya hezbollah na maeneo mbalimbali yaani ni moto wa kutisha kiukweli lebanon itageuka kama gaza
Lete hayo majina HAPA NASUBIRI.Hao 200 ni Hizbullah tu au nikupe na majina Yao?
Nenda google acha uvivu sheikh.Lete hayo majina HAPA NASUBIRI.
Hao raia walishapewa ujumbe wa hame muda wote walikuwa wanasubiri nini?Sehemu iliyoshambuliwa ni ya raia sio maghala ya silaha ya Hizbollah.
Hizbollah silaha zao huzificha chini ya tunnels.
Eneo lililolopuliwa sio eneo la kambi ya Hizbollah.Hao raia walishapewa ujumbe wa hame muda wote walikuwa wanasubiri nini?