Hezbollah wanapigana kwa maslahi ya Nani? Mbona wanawaumiza raia wa Lebanon

Naona Israel na washirika wenzako (US and allies) wametoa wazo la ceasefire.
Ile habari ya jana ni kweli wameshaanza kuomba ceasefire kuanzia Lebanon pia wapate muda wa kujadili ceasefire of Gaza.
Ila Hizbollah na Iran wanaonekana hawana habari sana na hizo habari za ceasefire.
Ila haya yote yanayoendelea bado tu Israel inamlaumu Iran aisee!!
Hammaz
 
Hawawezi kamwe mufti.
Hata Gaza si walishindwa wakaunda video za kuedit!?
Zilichunguzwa zikagundulika ni staged videos.
Dunia hii ya sayansi na teknolojia unamuongopea nani kaka!?
Hawa jamaa hawatumii akili. Kwanza silaha zikiwekwa kwenye makazi ya watu zikilipuliwa mlipuko wake unakuwa mkubwa sana kitu ambacho hakionekani kwa mashambulizi wanayoyafanya Israel.
 
Hawa jamaa hawatumii akili. Kwanza silaha zikiwekwa kwenye makazi ya watu zikilipuliwa mlipuko wake unakuwa mkubwa sana kitu ambacho hakionekani kwa mashambulizi wanayoyafanya Israel.
Ndicho nachoshangaa mimi.
Kama kungekua kuna milipuko inahifadhiwa chini ya makazi hapo kungetokea maafa ambayo sio himilivu.
 
US na West wenzake ni walaghai na Hizbullah wanalifahamu hilo!
Wanaomba cease-fire kumbe wanampa Israel muda wa kujipanga na kumpatia silaha zaidi. Hizbullah wamejifunza na hawawatilii maanani. Na kama wakituma mjumbe Lebanon hawatazungumza naye kama miezi kadhaa ya nyuma walivyofanya.

Na unaona mpaka cease-fire inaombwa ujue Israel ipo taabani.
 
Waarabu wa buza bana. Yaani wapiganaji wa kiarabu huwa hawafi cha ajabu hawashindi vita
 
Umeona hapo balozi wa Iran UN alivyomjibu balozi wa Israel UN!?
Yani liwalo na liwe Iran haiwezi kuiacha Lebanon kivyovyote.
Israel ina askari zaidi ya elfu 70 walemavu wa kudumu.
Hilo ni pigo kubwa kwa jeshi.
Useme uendekeze vita na wapiganaji wenye kikosi cha watu zaidi ya laki moja ni kipengele.
 
Hawa dawa yao unawanyeshelezea mvua za makombora siku 3 mfululizo na hii ndiyo lugha wanayoielewa. Wametupiwa makombora siku 2 mfululizo wameanza kupiga mayowe kwa wakubwa zao.

Jana tu video nyengine zinaonyesha raia wao wakiwa wanalia huku wamelala chini king'ora kikilia makombora yanaingia.
 
Hezbollah ni kama CCM hapa Tanzania. Ni CCM ya huko inauwa watu inateka na kubambikia kesi
 
Hujajibu swali la mtoa mada.Wanapigania nini na Kwa maslahi ya nani?
 
Wanampigania Mungu wao aitwaye Allah, ndio maana wakiua utasikia wanasema Mungu mkubwa
 
Wayahudi walisambaa ulimwenguni kote kutokana na kushambuliwa na mataifa mbalimbali enzi za nyuma
 
Kobezi na vipedo
 
Shahidi ndio wale wanaenda kupewa 72 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…