Hezbollah yaanza kuishambulia Israel kwa roketi nzito za angani na ardhini, kulipa kisasi mauaji ya makamanda wake

Kungekuwa kuna chochote cha maana kilichosababishwa na hayo madude dunia ingeshajua. Kawaida Israel anapiga kamoja ka nguvu wao vingi vya hovyo. Kimoja cha nusu saa bora kuliko kumi vya dakika mojamoja au mnasemaje wenyewe
Dalili hi hapa hi channel ni jina tu inaitwa al arabiya, lakini iko against Hezbullah, Al houth na Iran ona ilivyo onyesha wanaficha nini? Nchi za kiarabu hawana sababu za kuficha unaficha nini na wakati wanaona kule kwenye control room wamepiga target 😄 Au wanaona aibu kuonyesha udhaifu wao vitu vinavyo tereza kiulaini kabisa kupiga taifa teule la Paulo.


View: https://youtu.be/4EFsuXv8ZF4?si=Ki1R5oXlThWqLT77
Israel wanatukosesha raha watazamaji kuona vitu vya Hezbullah vinavyo land na kuchakaza Israel.
 
Kwani media zinazoonyesha matukio haya mengine zimeshindwa kuonyesha na hili?
Hat media iliyotoa hii taarifa nayo imeshindwa?
 
waislam hii kwao ndo solution ila ubao ukigeuka wanaanza kulia CEASEFIRE
 
Ila naona kama vile madude yanadunguliwa huko hewani
 
Mbona kama hiyo ya kiingereza imebumbwa?
 
Wanatafuta DOOM'D
Ww aliekwambia ni mashambulizi ya kulipa kisasi nani?wenyewe wanakwambia hayo ni mashambulizi ya kawaida km wanayoshambulia kila siku la kulipiza kisasi bado linapikwaaa
WANATAFUTA DOOMS'DAY!
MUDA UTASEMA!
Nilimwambia sasirallah akunje miguu shuka ALIYO NAYO ni fupi Tena imechakaa! Yahudi Si mchezo mchezo! Walimsulubu na kumuwa hata Mwana wa Mungu YESU!
Kama sio wachawi basi ni MKONO WA MUNGU WAO ALIYE WASGIZA!;
👇👇
Torati.19:20-21
[19]Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

[21]Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.
 
Israel ikiibu wasije anza kulia lia
 
Kwani media zinazoonyesha matukio haya mengine zimeshindwa kuonyesha na hili?
Hat media iliyotoa hii taarifa nayo umeshindwa?
Israel imefungia hadi vyombo vyake vya habari kuripoti habari yoyote inayohusiana na vita.
Chombo angalau kinachojitahidi ni Haaretz cha Jews,na hata hiyo Haaretz huwa wanasumbuliwa na IDF.
Kaa ukilijua hilo.
Israel ilidanganya Gaza wamekufa askari 200 kumbe wamekufa 900 Haaretz ndio ilitoa habari.
Israel ilidanganya injured soldiers with minimum injuries ni 3000 kumbe crippled soldiers mentally and physically ni 70,000.
Wameifungia hadi Al-Jazeera isitoe ripoti.
 
Yataacha historia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…